Inategemea na simu mkuu, Nina OnePlus 5T ya 2017 ilikuja na 8GB ram, na Sasa Hivi nipo latest na Android 9 na hio 10 wanatufikiria.
Simu za Nokia zote zitapata Android P mwakani, Nokia 8 ilitoka na Android 7, imepata 8, 9 na 10 na mwakani inapata 11,
Nvidia shield ilitoka na Android 5.1 Kama sijakosea na Sasa Hivi ipo latest na bado hawajasitisha support.
Hizo Ni official updates, ukienda un official mpaka simu Kama Galaxy s2 inaweza run latest update. Mwenzake waliotoka pamoja iPhone 4 Sasa Hivi kawa Nokia ya tochi huwezi eka app yoyote.
Na mkuu usikatae maneno yako kwenye processor na ram Umewahi kusema hivyo vitu havihitajiki niruhusu nifukue makaburi.