Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,689
- 39,757
Inategemea na simu mkuu, Nina OnePlus 5T ya 2017 ilikuja na 8GB ram, na Sasa Hivi nipo latest na Android 9 na hio 10 wanatufikiria.Mimi argument yangu ni "Making the most of your resource"
Sasa mimi, achilia iPhone, uniletee Tecno sasa ivi yenye android in 1 GB of ram, lakini it can perform like a 6Gb of rams kwenye samsung, basi nitakwambia Tecno is efficient kuliko Samsung.
Si ignore factor nyengine ambazo zinaweza kufanya simu iwe faster. tatizo lenu mnakuja hapa nakusema " 2019 Iphone bado anatumia 4Gb rams" "2019 bado iphone in 720p" "2019 bado iphone ndo inakuja na dark mode" n.k
Mimi naelewa kuwa processor ina play its role kwenye perfomance, lakini hutowahi kunikuta hata siku moja nikisema "Android hakuna haja ya kuwa na powerful processor kwa kazi inazofanya" tatizo linakuja apa, unajisifia kuwa umekuja na 8Gb of rams 2017, leo 2019 simu ile haipati update?
Simu za Nokia zote zitapata Android P mwakani, Nokia 8 ilitoka na Android 7, imepata 8, 9 na 10 na mwakani inapata 11,
Nvidia shield ilitoka na Android 5.1 Kama sijakosea na Sasa Hivi ipo latest na bado hawajasitisha support.
Hizo Ni official updates, ukienda un official mpaka simu Kama Galaxy s2 inaweza run latest update. Mwenzake waliotoka pamoja iPhone 4 Sasa Hivi kawa Nokia ya tochi huwezi eka app yoyote.
Na mkuu usikatae maneno yako kwenye processor na ram Umewahi kusema hivyo vitu havihitajiki niruhusu nifukue makaburi.