cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,867
Kama ninataka Kamera nzuri nitanunua kamera sitaki kamera ya simu
Perception ni kitu kina u tofauti sana baina ya watu.ni unazi wa ajabu tu.
leo hii mtu akishika samsung metre 10 kutoka ulipo mpaka unaona raha.apple hawafanyi kwa kuwafurahisha wateja.wanaangalia faida zaidi.utafiti kidogo then mauzo bei juu.
Mkuu so kila manufacture wa Android anaweka vioo vikubwa na batteries kubwa. Mfano chukulia compact series za Sony Kama Xz1 compact yenye 2700mah tu.Alternative ukimaanisha nini?
Android anaweka betri ya 4500 mah kwenye simu zake na iphone ana 2500 mah unategemea nini? Na hapo hazikai hata 24hrs.
Kuwa na efficient chip ndo kunamfanya apple awe vizuri kwenye battery life. Ingekuwa apple ana hizo 5000mah angekaa zaidi ya 18hrs na chaji.
BTW, iphone ndo bingwa wa standby time.
Kwanini waweke 5000 wakati 2500 inafanya vizuri ikisaidiwa na efficient chip?sasa unafikiri kwanini haweki hizo 5000mah
So unaona kuwa you dont need alot of rams to run the latest software? Sasa mnamchekea nini iPhone akiwa na 2Gb of rams halafu ana run ios 12?Ndio Nokia 8 imepata latest update na Nokia zote mpaka za Bei rahisi zinapata Android P ya mwakani.
Developers ndio wataamua kama simu yako ita survive au itakufa tu. Sifikiri kama Apple wamewaambia developers hao kuwa wasijekutengeza updates tena. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa na iphone 3g, nikaja kumuekea Whitesnow na apps zile za iphone 4 zikawa zinapiga kazi ila perfomance ilikuwa mbovu. kwaio ni developers wakiamua hamna apps kwa OS yako, hata iwe nzuri vipi, utaiweka kabatini tu simu.Symbian haikuwa open source mpaka leo Nina simu za symbian na zinafanya kazi na naweka apps vizuri tu. Same windows pia sio open source Ila unaweza tumia Windows XP ya zaidi ya miaka 10 iliopita. Hizo Ni policy za Apple tu kufanya simu za zamani zisifanye kazi ili wanunue mpya, Ila siamini Kama feature phone irun WhatsApp na simu Kama iPhone 4 ishindwe.
Kwasababu it's not what apple customers want.jibu simple tu,hakuna ulinganifu kwa wapinzani.
Ili simu ifanye kazi inahitaji a complete set ya mambo mengi.tunarudi pale pale,kwamba tulianza na ram 512mb.kwanini hatuku stick hapo?
Sasa hivi kwenye website ya apple iphone 8 ni $450 which is almost 1M ukiweka na kodi inakuja hadi 1.5M.sababu ni hizo update napo hamna tofauti ya maana.
2017 tulikuwa na s8 na iphone 8.tofauti ni kama dola 70 tu.
Boe Ni mwizi tu Samsung akishawakamata wanaovujisha Siri watasumbuka Sana. Hao ndio walio supply foldable display kwa Huawei kila Samsung akipostpone na wao Wana postpone.Na sasa hv niliskia Apple walikua wanatafuta diplays za Oled kutoka kampuni ya kichina ya BOE kisa Samsung wanawauzia diplays cost kubwa...maana katika iphone X moja production cost ni around $400 na Samsung display cost around $150...Lets wait tuone watawafuata China ama vipi maana Trump nae kapandisha ushuru kwa bidhaa imported from China.
Design nzuri zaidi according to u.Sababu Samsung ana design nzuri zaidi, kwenye low end anatumia water drop notch Ila kwenye high-end walitumia cut out display na quality wise miaka yote wanakuwa na quality nzuri Kushinda iPhone.
Mwakani wanaweza wasilete vyote.Halafu hivi vyote akina techradar na cnet walituambia kuwa vitakuja. Niliisubiri hii simu nikitumai kupata USB type C na in screen fingerprint but holaa. Unaweza shangaa wakavileta mwakani na ikawa big news kwao
CC Chief-mkwawa
Unaongea kwasababu una internet ya bure tu.
Zile iphones za makumbusho.Haha mtu anaongelea matoleo ya miaka 4 nyuma kuyanunua kwa laki 3 anaona sifa! Halafu ukute hiyo alonunua ndo zile za kuvisha housing na fingerprint failure
Mkuu Apple wenyewe wameshadakwa kwenye updates zao wanapunguza nguvu za processor, ili watu waone simu zipo slow na kununua nyengine.So unaona kuwa you dont need alot of rams to run the latest software? Sasa mnamchekea nini iPhone akiwa na 2Gb of rams halafu ana run ios 12?
Developers ndio wataamua kama simu yako ita survive au itakufa tu. Sifikiri kama Apple wamewaambia developers hao kuwa wasijekutengeza updates tena. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa na iphone 3g, nikaja kumuekea Whitesnow na apps zile za iphone 4 zikawa zinapiga kazi ila perfomance ilikuwa mbovu. kwaio ni developers wakiamua hamna apps kwa OS yako, hata iwe nzuri vipi, utaiweka kabatini tu simu.
Wewe unasema kuwa ni policy ya Apple kwamba simu za zamani zisifanye kazi, mwenzako anasema iphone ana delay kutoa new features ili simu zao zamani ziendelee kutumika, mbona pana mgongano wa views hapa?
Sasa hapo wapi mkuu nimesema kuwa Processor na ram hazihusiki kwenye speed? au nimekuuliza kama Whatsapp na Youtube kwa pamoja zinahitaji 6Gb of rams to run simultaneously? Hapo ni kama nimekuuliza mkuu unahitaji lita 30 kutoka magomeni mapipa mpaka kariakoo?! nitakuwa nimemaanisha kusema kuwa mafuta hayahitajiki kwenye gari?
Kama sikosei, hapo tulikuwa tunajadiliana efficiency, matumizi ya hizo memory na ndio maana nikakwambia poor memory management. iphone kaeka 6GB of rams sasa tuone iphone with 6GB of rams how it perfoms over 6GB of rams in Samsung.
Besides, iphone si unajua they dont brag about Rams? ni watu wa android tu ndio wana brag na hivo vitu halafu mtu anatumia whatsapp
Well made android phones unamaanisha nini?Mkuu so kila manufacture wa Android anaweka vioo vikubwa na batteries kubwa. Mfano chukulia compact series za Sony Kama Xz1 compact yenye 2700mah tu.
Xz1 compact
Then compare na iPhone zote 3 za mwaka Jana.
iPhone xs 2658mah
iphone Xr 2940mah
iphone xs max
hivyo unaona compact well made Android phone inakaa na chaji zaidi hata Kama battery lake Ni Dogo compare na iPhone hasa hio XR Maana inafanana Mambo mengi na hio Sony.
Simu ya milion 5 huwezi kuangalia video ya 1080 resolution karne hii ya 21 alafu watu watampongeza Tim Cook. Mwakani wataletewa simu za resolution ya 1080 watashangilia balaa kama vile ni kitu kipya. Yaani kila mwaka apple wamekua wakiwascam wateja wao na wateja wanashagilia tu.Halafu hivi vyote akina techradar na cnet walituambia kuwa vitakuja. Niliisubiri hii simu nikitumai kupata USB type C na in screen fingerprint but holaa. Unaweza shangaa wakavileta mwakani na ikawa big news kwao
CC Chief-mkwawa
Wao pia wanazo Ila sio mainstream, simu zao Mainstream nyingi zinakuwa na high resolution display na vikorembwezo vingi Hivi vina Faida yake na simu zenye resolution ndogo pia Zina Faida zake.Well made android phones unamaanisha nini?
Samsung galaxy kwanini wasiwe na well made android phone?
Actually Camera 2 au 3 zinatosha kwenye simu. Mtu mwenye Camera 2 au 3 anaweza kua anapata picha nzuri kuliko kwenye camers moja kwababu kila camera inakua na kazi yake kwenye picha moja.
Camera 16 nimetania tu watu wa Tecno.
Ukiondoa ulinzi kwenye iphone hakuna kingine cha maana.