Habari wadau wa gadgets...
Wale wapenzi wa iPhones siku mbili zijazo apple watazindua iphone 11. Simu hii inasemekana itavunja rekodi ya smartphone zote ktk kila nyanja.
Karibuni hapa tuisubiri na tuichambue kwa kina.
View attachment 1201601
Tangu lini? Kama ni mkali tusiseme?Mkuu wewe na pixel tu tangu mda kuhus camera...we ni wakala wao nn
Sure wamechoka wachina wanawakimbiza sana especially OnePlus na huwaei wao wameanza na 5G apple bado anahangaika na 4G hata Samsung yuko na 5GHamna kimya kwenye iphone 11 zaid ya kutumia triple camera tu. Sikuhz apple hawana chaku invent tena
Sure wamechoka wachina wanawakimbiza sana especially OnePlus na huwaei wao wameanza na 5G apple bado anahangaika na 4G hata Samsung yuko na 5G
Event yao ni saa ngapi??Haya specs zishaanza kua released huko gsmarena...Cha kusikitisha haijavunja record kila idara kama ulivyosema ,hawa ndugu bado kazi wanayo,, watu saiz wanauziwa logo nasio kingine
Itaweza kumfanya mwafrika awe na uwezo wa kufikiri kama mzungu.Record gani mkuu? Resolution, processor, quality ya display, ram, storage, ama Nini?
Hii ni bugdet phone yao lakini..sio spec za proUmeipa promo sana kama masaubwire lakini hakuna cha maana View attachment 1203944
Kwani wametoa na 11 pro maana na hii imeachiwa leo?Hii ni bugdet phone yao lakini..sio spec za pro
Tecno mwakani anakuja na simu ina Camera 16 na ndogo zaidi itakua na MP 80.Kwa upande wa simu sasa hivi hakuna kampuni inayokuja na technology ya kutisha, zaidi wanaongeza gimmics za kutosha na improvements chache, halafu cha ajabu siku hizi watengeneza simu wamekomaa upande wa kamera as if kamera ndo kila kitu kwenye simu
Camera 16 zinakusaidia ni ambacho mtu mwenye camera 1 hawezi kupata?Tecno mwakani anakuja na simu ina Camera 16 na ndogo zaidi itakua na MP 80.
Nimeangalia Apple hawajaja na kitu chochote cha maana kabisa lakini utashangaa simu inauzwa Milion 5.
Modification chache sana kwa kweliKwa upande wa simu sasa hivi hakuna kampuni inayokuja na technology ya kutisha, zaidi wanaongeza gimmics za kutosha na improvements chache, halafu cha ajabu siku hizi watengeneza simu wamekomaa upande wa kamera as if kamera ndo kila kitu kwenye simu