iPhone 11... kuvunja rekodi?

Actually Camera 2 au 3 zinatosha kwenye simu. Mtu mwenye Camera 2 au 3 anaweza kua anapata picha nzuri kuliko kwenye camers moja kwababu kila camera inakua na kazi yake kwenye picha moja.

Camera 16 nimetania tu watu wa Tecno.
Mwisho wa siku Ni implementation, Kuna infinix Fulani nimeiona Ina camera 3 Ila camera moja Ni qvga inapiga picha kwa 320x240, unajiuliza hio resolution 2019 inatumika wapi? Inakuwa Ni gimmick tu.

Nokia 808 imetoka 2012 lakini mpaka leo Kuna area kibao bado inazipiga bao simu za kisasa even p30 pro.

Hivyo unaweza ukawa na camera 1 na ikawa nzuri na ukawa na camera nyingi zikawa mbaya.
 
Mkuu unazungumziaje utapeli wa leo wa apple.
 
Nilisikia 5G wataileta 2020...ila lets wait n see on Tuesday.
5G bado sasa.

Hata carriers hawajaanza ku roll out hiyo network.

Labda tuongelee kuanzia 2021-2022. Hapo ndo itakuwa fair kuanza kununua 5G phones.

Huku africa tuanze kuongelea kuanzia 2023.
 
5G bado sasa.

Hata carriers hawajaanza ku roll out hiyo network.
Labda tuongelee kuanzia 2021-2022. Hapo ndo itakuwa fair kuanza kununua 5G phones.
Huku africa tuanze kuongelea kuanzia 2023.
Carrier gani hawajaanza kulaunch 5G mkuu?
 
Sasa hata kama ni Budget ndio watu wakose hata full HD mwaka 2019? Na ile LCD display sijui wanawaza nini hawa jamaa.

Kimsingi kutokana na price ya iPhone 11 kua cheap kias means ina chance ya kuuza kuliko hizo zingine.. hivyo basi watu wengi watakosa full hd na watauziwa lcd display kama kawa
Hii ni bugdet phone yao lakini..sio spec za pro
 
Back
Top Bottom