Ipe neno hii picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ipe neno hii picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Imani za kidini zinawapumbaza watu.
Mtu umeme unaisha anakwambia mtume na nabii kasema akipaka mafuta ya upako kwenye mita umeme unawa

Imani za kidini zinawapumbaza watu.
Mtu umeme unaisha anakwambia mtume na nabii kasema akipaka mafuta ya upako kwenye mita umeme unawaka
Kuna yule mama alisema alibandika picha ya Mwamposa kwenye mita umeme ukawa unawaka tu
 
Ipe neno hii picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 3436767
Nikuambie kitu nanii..

Unajua ni kwavile tu sisi waafrika hua hatuna ule moyo wa udadisi na kutaka kujua ukweli. Lakini kiuhalisia ilitakiwa leo waumini watinge kanisani na mitungi yao empty ya gas, na ikifika muda wa maombi watoke nayo mbele ikaombewe!

Hii ingekua ni njia rahisi na ya uhakika ya ku prove kama alichokisema jamaa kina ukweli wowote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom