Asante kwa wazo lako, ila 2 out of wahusika 3 waliomba iwe siku hiyo. Kwa vile debate itakua ndefu kidogo na itakua na breaks kuwaruhusu waende kusali/kufturu/kulala nadhani inaweza kuendelea on the 25th as well. Sisi ambao hatuto participate tunaweza kuja kuisoma baadae, kama during the weekend, na kuchangia.
Mzee Kijana hivi Kiboko na Mamba nani Kiboko!?
Mambo yamekuwa mengi na majukumu yameongezeka. Ukizingatia tena na mfungo ndio huo tunauanza.
Tupo pamoja mkuu
Mwita Maranya, hivi hiyo dhana ya payroll mmeipata wapi? Ina maana wewe upo kwenye Payroll ya Slaa na Mbowe? kama kuna watu wanaolipwa ni wao na acheni kugeneralize! Tupo hapa kutoa maoni yetu na kila mtu anao uhuru wa kuchangia kwa kile anchoona ni sahihi.Ah wapi Rejao sema tu ukweli kwamba umeondolewa kwenye payroll ya lumumba sasa unambwelambwela kuitafutia familia yako mkate wa kila siku ndio maana umekuwa adimu.
Ingawa limekuwa jambo la kheri kama umeanza kuchungulia japo mara moja moja.
Lunch itakuwa kwa Chota kwanza Ugali wa muhogo kwa mix kichuri.
Hujambo mtoto mzuri?
asante roulette nimekupata vizuri.i'll be there on time.
Mambo yamekuwa mengi na majukumu yameongezeka. Ukizingatia tena na mfungo ndio huo tunauanza. Tupo pamoja mkuu
Ritz umeanza...
Ndio. So long as hamtoi majibu, na kama post zinahusu mada inayo jadiliwa, hakuna ubaya. wakati debate inaendelea tutapokea masuali (maswali) mbali mbali toka kwa members, na mwisho kabisa suali (maswali)tatu (matatu) zitachaguliwa (yatachaguliwa) kua suali (na kuwa maswali yenye nambari)13, 14 na 15.
Akishampelekea akadake chake!!Zomba ampelekee si ndio mpambe wake!
aha wapi mkuu nasikia kuna mgogoro wa posho za propaganda mtandaoni pale lumumbaMambo yamekuwa mengi na majukumu yameongezeka. Ukizingatia tena na mfungo ndio huo tunauanza.
Tupo pamoja mkuu