Invitation to all JF members: Debate!

mimi sipo okee bana..hili swala la huu mdahalo limeniboa kila siku ...sasa tutajadili nini hapa eti! utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012..si alishaongoza ?sasa mnajadili ili iweje? mtafanya nini sasa? .hata sielewi ...mimi nataka mada za kimalavidavi tu nirelax mie ..kila siku jk mwenyewe anakula zake bata nje huko ...hivi yupo nchini?

Ili tujifunze kutokana na mazuri na mabaya yake, ndio histori ilivyo bi dada
 
Huu mjadala utakuwa very interesting,nina uhakika Zomba atatoka nje ya mada na anaweza kumrudisha Matola kifungoni right away,let's wait and see.ila usipoharibika utakuwa mjadala mzuri,nasubiri sana kuona Zomba ataitetea vipi hii kitu.
 
Huu mjadala utakuwa very interesting,nina uhakika Zomba atatoka nje ya mada na anaweza kumrudisha Matola kifungoni right away,let's wait and see.ila usipoharibika utakuwa mjadala mzuri,nasubiri sana kuona Zomba ataitetea vipi hii kitu.
inapokuja ishu ya Kikwete, Zomba hua namuaminia sana!
 
Nadhani hii thread + hiyo ya debate should be closely moderated. Naona watu wameanza kuchanganya na mambo ya ajabu. Ndoa ya Dr Slaa na hii thread wapi na wapi?
 
Nadhani kuna haja pia ya ku block post za wachangiaji wengine wakati maswali na majibu yanaendelea ili tusipoteze flow ya maswali na majibu hadi mjadala utakapomalizika ndipo post flow zingine ziruhusiwe kwa wanaotaka kuchangia kulingana na maswali na majibu yaliyotolewa. Pia kama kutakuwa na uwezekano wa auto page refresh itatusaidia sana kuepuka manually page refreshing ili kupata updates.
 
Roulette, msemakweli mpenzi wa Mungu. Mimi sitachangia kitu, nitapigwa ban bureee kwa pumba za akina Rejeo, Ritz na Zomba mwenyewe. Im short tempered.:israel:
 
Ingekuwa vyema kama nakala hiyo angepewa baada ya maoni kuchambuliwa na kuandaliwa kwa ufasaha...Lakini swali linakuja, ni nani amabaye atapeleka nakala ya hii debate kwa mheshimiwa presda?
Zomba ampelekee si ndio mpambe wake!
 
Back
Top Bottom