Wewe ni Ambivert..! Umemix character za extrovert na introvertMimi nipo kundi ganj sasa?
Ni muongeaji mzuri tu nikiamua kuomgea tena nina story hasa na mtu akinianza kuniongelesha atahisi rafiki kapata ila nikitoka hapo simtilii maanani tena yaani hata anaweza nitxt nisijibu kwa wakati akapiga cm nisipokee nakua sijisikii kuongea nae au kuchat nae!
Napenda kukaa ndani tena peke yangu naweza kukaa ndani hata siku tatu nisionekane nje! Nimesoma shule zote day school ila ht majirani walikua wanadhani niko boarding na sijawah kuchoka kukaa ndani.
Sina marafiki na i hate friends nawachekea juu juu tu ila sijawahi kuwaamini na wala sijawahi tendewa nao ubaya! Sipendi kuongozana na mtu km ushost yaan ht nilivyokua chuo ni nitoke room kwangu niingie class nitoe hi niweke earphone niingie netflix niamgslie movie km lecture hajaingia kimyaaa ila ukiniongelesha narespond kwa bashasha mok unaweza shangaa
Napenda kutoka out peke yangu nijinunulie kinywaji changu nisikilize mziki ila asije mtu kunipa company ananiharibia tu starehe ht km ananijua anisalimie tu apite aniache alone.
Am a girl ila nikimpenda mtu namwambia straight forward kua i like u sinaga aibu yaani na nikiwa na mahusiano my boyfrnd anakuaga anatake over almost ratiba yote ya maisha yng yaani ni mimi na yy sijui inakuagaje ht awe vp utashangaa tumestick together and life is all abt us inshort na yy automatic anapoteza marafiki anakua na mimi tu na sijawahi command hilo kwa mwanaume nilienae.
Am very confident hasa kwenye kujieleza pale itapotakiwa nifanye hivyo siogopi mtu wala watu eg. kwenye presentation ilikua lzm nipate extra points
Naweza nikacheka na ww nisijue ht jina lako nimesoma na baadhi ya watu miaka3 mitatu kozi moja darasa moja ila siwajui majina na wengine siwajui hata sura zao!
Nikipenda napenda haswaa na nakuaga km nina ka convicing power fulani hv..sifokeagi mwanaume wala kumuamrisha ila automatic anakua vile ninavyotaka awe and ina turn out kua healthy relationship ever.
Nina huruma mnoo..ni mwepesi kutoa msaada ila mgumu kukopesha hela yaani bora nikupe kidogo sababu siwezi kudai...naonekana km kauzu ila hakuna mtu ninaeumia emotionalyy km mimi.
Nina wivu wa mapenzi sijawahi ona yaani i want my man to be only mine nikinusa harufu ya usaliti nahisi km moyo unachemka kwa hasira I can even kill wallah personally nikipenda nimependa
Nina visasi yaani ukiniudhi kitu kikaniingia sawasawa lazima nitakulipizia tuuu hata baada ya miaka.
Naambiwaga ninaringa na nina dharau while najiona sina tabia hiyo sababu kutoka moyoni naheshimu kila mtu kwa class yake na sipendangi kumjudge mtu inshort niseme hua na mind my own business na mwanaume ambae niko nae tu.
Hata uniseme au unisengenye nakuona hv usitegemee nikareact na nikiamuaga kitu nimeamua sitaki mtu anibadilishe mawazo yangu nahisigi nilichoamua kiko sahihi maana natumiaga mda mref sana kufikia maamuzi.
Nipo kundi gani? Extrovert? Introvert? None of the above au wapi exactly?
Changamoto
- Kuonekana domo zege
- Kutokuaminika kama wapo serious
- Kuonekana wana maringo
- Kuonekana wanajisikia
Maelezo yako yanasisimua[emoji3526]Mimi nipo kundi ganj sasa?

dah nimeambiwa sana kuwa ninaringa na kujisikia wakati kiukweli sina cha kuongeza kwenye story za wengine kwasababu pengine nina enjoy kusikia tu wengine wakiongea 🙁Changamoto
- Kuonekana domo zege
- Kutokuaminika kama wapo serious
- Kuonekana wana maringo
- Kuonekana wanajisikia
mimi mtu akinipigie simu huw siongei muda mrefu ,ikitokea ninae onge nae anaongea muda mrefu natamani amalize haraka kuongea huwa nachoka sana kumsikilizaMimi mwenyewe huwa nasubiri ikate.
Tena huwa situmi sms muda huo huo maana nahofia itapigwa Tena...
Huwa naunga kifurushi naishia kutumia MBs tu,nikitumia dakika basi nimewapigia wazazi.
Kwa sasa Niko nyumbani dk zangu huwa zinaisha tu muda wake situmii hata sekunde.
Kuna messages hizi za kuchat chat tu huwa sijibu..labda mtu awe na shida..lakini story,sijui umbea a wapi.
Hadi Sasa simu yangu Ina normal text Kama Mia,za kuforwardiwa na nyingine za Mambo
Nikivuta pale juu nikaona ya kuforward hata sigangaiki kufungua.
Nina mwezi mzima sijazifungua labda nitajaribu kuzijibu weekend ijayo
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kama unaniongelea mimiunamaanisha kwamba introverts hawawezi oral/verbal interactions pekee sio?
Huwezi kuta intros wanajipendekeza,sijui wambea wambea,huwa tunajiamini sana na tunaamini kwenye ability sio ujinga ujinga wa umbea na kujipendekeza..Ukikuta kiongozi ni intros alafu mtu anakuwa na tabbia za ajabu ajabu lazima atakuumbuaUko sahihi na ikitokea mwanamke akaxungusha basi ndio anapotezewa kihivyo. Pili huwa tunakuwa straight forward, hatutumii janja janja kuomba k
Mimi nipo kundi ganj sasa?
Ni muongeaji mzuri tu nikiamua kuomgea tena nina story hasa na mtu akinianza kuniongelesha atahisi rafiki kapata ila nikitoka hapo simtilii maanani tena yaani hata anaweza nitxt nisijibu kwa wakati akapiga cm nisipokee nakua sijisikii kuongea nae au kuchat nae!
Napenda kukaa ndani tena peke yangu naweza kukaa ndani hata siku tatu nisionekane nje! Nimesoma shule zote day school ila ht majirani walikua wanadhani niko boarding na sijawah kuchoka kukaa ndani.
Sina marafiki na i hate friends nawachekea juu juu tu ila sijawahi kuwaamini na wala sijawahi tendewa nao ubaya! Sipendi kuongozana na mtu km ushost yaan ht nilivyokua chuo ni nitoke room kwangu niingie class nitoe hi niweke earphone niingie netflix niamgslie movie km lecture hajaingia kimyaaa ila ukiniongelesha narespond kwa bashasha mok unaweza shangaa
Napenda kutoka out peke yangu nijinunulie kinywaji changu nisikilize mziki ila asije mtu kunipa company ananiharibia tu starehe ht km ananijua anisalimie tu apite aniache alone.
Am a girl ila nikimpenda mtu namwambia straight forward kua i like u sinaga aibu yaani na nikiwa na mahusiano my boyfrnd anakuaga anatake over almost ratiba yote ya maisha yng yaani ni mimi na yy sijui inakuagaje ht awe vp utashangaa tumestick together and life is all abt us inshort na yy automatic anapoteza marafiki anakua na mimi tu na sijawahi command hilo kwa mwanaume nilienae.
Am very confident hasa kwenye kujieleza pale itapotakiwa nifanye hivyo siogopi mtu wala watu eg. kwenye presentation ilikua lzm nipate extra points
Naweza nikacheka na ww nisijue ht jina lako nimesoma na baadhi ya watu miaka3 mitatu kozi moja darasa moja ila siwajui majina na wengine siwajui hata sura zao!
Nikipenda napenda haswaa na nakuaga km nina ka convicing power fulani hv..sifokeagi mwanaume wala kumuamrisha ila automatic anakua vile ninavyotaka awe and ina turn out kua healthy relationship ever.
Nina huruma mnoo..ni mwepesi kutoa msaada ila mgumu kukopesha hela yaani bora nikupe kidogo sababu siwezi kudai...naonekana km kauzu ila hakuna mtu ninaeumia emotionalyy km mimi.
Nina wivu wa mapenzi sijawahi ona yaani i want my man to be only mine nikinusa harufu ya usaliti nahisi km moyo unachemka kwa hasira I can even kill wallah personally nikipenda nimependa
Nina visasi yaani ukiniudhi kitu kikaniingia sawasawa lazima nitakulipizia tuuu hata baada ya miaka.
Naambiwaga ninaringa na nina dharau while najiona sina tabia hiyo sababu kutoka moyoni naheshimu kila mtu kwa class yake na sipendangi kumjudge mtu inshort niseme hua na mind my own business na mwanaume ambae niko nae tu.
Hata uniseme au unisengenye nakuona hv usitegemee nikareact na nikiamuaga kitu nimeamua sitaki mtu anibadilishe mawazo yangu nahisigi nilichoamua kiko sahihi maana natumiaga mda mref sana kufikia maamuzi.
Nipo kundi gani? Extrovert? Introvert? None of the above au wapi exactly?
Na hapo ndipo inapofika wanasema tunajisikia ama tunaringa. Shida sasa uwe na tu hela kidogo utachukiwa na kila mtu.Huwezi kuta intros wanajipendekeza,sijui wambea wambea,huwa tunajiamini sana na tunaamini kwenye ability sio ujinga ujinga wa umbea na kujipendekeza..Ukikuta kiongozi ni intros alafu mtu anakuwa na tabbia za ajabu ajabu lazima atakuumbua
Mimi huwa sipendi kupokea kabisa.mimi mtu akinipigie simu huw siongei muda mrefu ,ikitokea ninae onge nae anaongea muda mrefu natamani amalize haraka kuongea huwa nachoka sana kumsikiliza
Hii ya kujisikia ni kawaida kusemwa.Na hapo ndipo inapofika wanasema tunajisikia ama tunaringa. Shida sasa uwe na tu hela kidogo utachukiwa na kila mtu.
Wewe ni Introvert yule mwenyewe.Mimi nipo kundi ganj sasa?
Ni muongeaji mzuri tu nikiamua kuomgea tena nina story hasa na mtu akinianza kuniongelesha atahisi rafiki kapata ila nikitoka hapo simtilii maanani tena yaani hata anaweza nitxt nisijibu kwa wakati akapiga cm nisipokee nakua sijisikii kuongea nae au kuchat nae!
Napenda kukaa ndani tena peke yangu naweza kukaa ndani hata siku tatu nisionekane nje! Nimesoma shule zote day school ila ht majirani walikua wanadhani niko boarding na sijawah kuchoka kukaa ndani.
Sina marafiki na i hate friends nawachekea juu juu tu ila sijawahi kuwaamini na wala sijawahi tendewa nao ubaya! Sipendi kuongozana na mtu km ushost yaan ht nilivyokua chuo ni nitoke room kwangu niingie class nitoe hi niweke earphone niingie netflix niamgslie movie km lecture hajaingia kimyaaa ila ukiniongelesha narespond kwa bashasha mok unaweza shangaa
Napenda kutoka out peke yangu nijinunulie kinywaji changu nisikilize mziki ila asije mtu kunipa company ananiharibia tu starehe ht km ananijua anisalimie tu apite aniache alone.
Am a girl ila nikimpenda mtu namwambia straight forward kua i like u sinaga aibu yaani na nikiwa na mahusiano my boyfrnd anakuaga anatake over almost ratiba yote ya maisha yng yaani ni mimi na yy sijui inakuagaje ht awe vp utashangaa tumestick together and life is all abt us inshort na yy automatic anapoteza marafiki anakua na mimi tu na sijawahi command hilo kwa mwanaume nilienae.
Am very confident hasa kwenye kujieleza pale itapotakiwa nifanye hivyo siogopi mtu wala watu eg. kwenye presentation ilikua lzm nipate extra points
Naweza nikacheka na ww nisijue ht jina lako nimesoma na baadhi ya watu miaka3 mitatu kozi moja darasa moja ila siwajui majina na wengine siwajui hata sura zao!
Nikipenda napenda haswaa na nakuaga km nina ka convicing power fulani hv..sifokeagi mwanaume wala kumuamrisha ila automatic anakua vile ninavyotaka awe and ina turn out kua healthy relationship ever.
Nina huruma mnoo..ni mwepesi kutoa msaada ila mgumu kukopesha hela yaani bora nikupe kidogo sababu siwezi kudai...naonekana km kauzu ila hakuna mtu ninaeumia emotionalyy km mimi.
Nina wivu wa mapenzi sijawahi ona yaani i want my man to be only mine nikinusa harufu ya usaliti nahisi km moyo unachemka kwa hasira I can even kill wallah personally nikipenda nimependa
Nina visasi yaani ukiniudhi kitu kikaniingia sawasawa lazima nitakulipizia tuuu hata baada ya miaka.
Naambiwaga ninaringa na nina dharau while najiona sina tabia hiyo sababu kutoka moyoni naheshimu kila mtu kwa class yake na sipendangi kumjudge mtu inshort niseme hua na mind my own business na mwanaume ambae niko nae tu.
Hata uniseme au unisengenye nakuona hv usitegemee nikareact na nikiamuaga kitu nimeamua sitaki mtu anibadilishe mawazo yangu nahisigi nilichoamua kiko sahihi maana natumiaga mda mref sana kufikia maamuzi.
Nipo kundi gani? Extrovert? Introvert? None of the above au wapi exactly?
Nishaga izoe hii.
Huu ugonjwa wetu sote.
Watu wanataka sijui tuwe tunatembea kusalimia majirani nyumba kwa nyumbaNishaga izoe hii.
Mimi labda simu za wazazi wangu na yule mtu wangu wa KaribuHuu ugonjwa wetu sote.
Aisee...
I like your character.