OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
niwie radhi mkuu ,nilighafirika ndo narudi reverse sasa so jiandae tunakuja kukuchukua.
Excel, umeniganda sana. Naomba nikupeleke chamber mara moja cha fasta!
isiwe tu kama hili linaloendelea mara katiba ooonh kanuni mara kura tujifiche au hadharani sijui poshooooo!!!!!!!
teamrafiki mngeweka wazi vigezo vya kuwa member na wengine wajue
Tunaanza na KATIBA kwanza kisha tutakuja na
mission na vision upo hapo
Naomba niwe mtunza shilingi wa kundi,naahidi kua muaminifu!
twende kule bottom basi...!... huku things fall apart..
hebu waoneshe form ya kujiunga
Isiwe tu kama hili linaloendelea mara katiba ooonh kanuni mara kura tujifiche au hadharani sijui poshooooo!!!!!!!
twende kule bottom basi...!... huku things fall apart..
Siendi bottom wala top King Mswati!
mkuu kwema?? kwani huko ng`ambo pia kuna kibaridi na kimvua kama cha huku kwetu?
mkuu Mndengereko naomba usajiri.