Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
- Thread starter
-
- #141
kama hujaona basi nakuomea usione tena we hujaona ile seduction ya watu wanakufarijiana baridi?au wewe ni nyumba ndogo?
mmmmh mwekundu huyu kiumbe Mndengereko haa tatizo hizi tuhuma tuu
oh mama yangu hukunipa hela wiki hii nitakukumbukaje mweee
Your welcome
Mkuu Mndengereko asante sana na pamoja sana kwa wale co- founder na waliochangia kwa namnamoja au nyingine kuanzisha #teamrafiki
Pamoja tutadumu
Mim umenisahau lol
OLESAIDIMU, teacher is calling you.Olesaidumi yuko wp?
Aise binamu zangu nimewamiss kuanzia Chocs, Paloma, Passion Lady, Blaki Womani, Madame B Zion Daughter, Zinduna, ladyfurahia, mwallu, Preta, Lady doctor, eveyn salt, Heaven on Earth, gfsonwin, sweetlady, yaani sijui mmepotelea wapiHeshima yako binamu yangu
Duuuu ndo ishakula kwangu aisee
Nakufa na utamu wangu kama mua dah
mission and vision?
OLESAIDIMU, teacher is calling you.
Excel, umeniganda sana. Naomba nikupeleke chamber mara moja cha fasta!kwani urafiki wa teamrafiki ni kwa senior experts tu?? i thought you are friends even to children!
hahhaaaa!! ni marufuku kutaja LOVE katika team yenu eenh!!?
Mamy Karucee...............present
Hii ilikuwa inataka kupitaje kituo ya umasaini bila kuuliza kama kuna anayepanda au anayeshuka!!!!!??????
Wewe Mndengereko huu udereva wa kupita vituoni wima ni juu ya nini???????? Ntuzu wewe ni rafiki wa kweli sana aseee!!!!!!
Will be back after a commercial break!!!!!!!!
Tunaanza na KATIBA kwanza kisha tutakuja na
mission na vision upo hapo