Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
- Thread starter
-
- #561
ondoa shaka nitamwambia shem wako Mndengereko akupe nafasi uipendayo
Kama umekuja kumridhisha miss neddy kamati itajua hilo
Mndengereko njoo uone kwa macho yako ntashindwa kukusimulia
haya shirikianeni basi na Passion Lady kwenye swala la utunzaji fedha ingawaje sisi chama chetu tunakiendesha kindugu na krafiki zaidi....
niko njia panda... ngoja kwanza nifanye finishing... au kama mnanipa uanachama huru, sawa tukubaliane kabisa!!
kadi ziko tele wasiwasi wako wa nini?
huyo hana lolote achana nae tumempa suspension mpk mwezi wa sita labda atakapo badilisha tabia zake ndo tutmafikiria
basi mwachie yy hiyo kazi ya kushika ankara wewe endelea na majukumu yako mengineoky my dia nitamsaidia atunze vizuri pesa ila mm ni
balozi sasa siwezi kushika nyadhifa zote hizo
niko njia panda... ngoja kwanza nifanye finishing... au kama mnanipa uanachama huru, sawa tukubaliane kabisa!!
sitaki kuingia kichwa kichwa unajua...! nipeni miaka mitano ya kujiandaa! ila kadi yangu iwepo maaaaaalum kwa ajili ya mfalme excel..
Nahisi ni shinikizo la miss neddy
hatutakupa uanachama kama unaleta u Bazazi wako
hapa chama chetu si mabazazi kamwe haturuhusu
marafiki wa aina hiyo hapa sisi ni waupendo, wamoja
na ambao tunaheshimiana hivyo ondoa ubazazi wako
ndo maana nasema huyu hatufai kuingia timu yetu.hata kwa bahati mbaya
nini tena mzee! unajua napewa maelezo na lady n, mnd na wewe, sasa hadi najichanganya!!!
nimegusa wapi jamani? tupendane aisee!!
Natamani nikupenyeze kwenye hii team ila katiba inanibana
basi mwachie yy hiyo kazi ya kushika ankara wewe endelea na majukumu yako mengine
Natamani nikupenyeze kwenye hii team ila katiba inanibana