Introducing teamrafiki


labda nimsaidie tu mkuu Mr Rocky naona atakuwa busy taarifa za kiintelijisia zinaonyesha kwamba honeyfaith una tabia nzuri ambazo zinaendana na maadili ya #teamrafiki so kwa kuwa umekidhi vigezo na sisi lengo letu ni kudumisha urafiki wetu so umekubaliwa na umepewa every acces ya kuwa mwanachama halala wa #teamrafiki so tafadhali ingia kwenye chama kadi yako itakufuata hukohuko.
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru kwa kunisaidia Honey Faith ungana na wenzako kina mwallu na wenzake umekua #RAFIKI sasa
 
Last edited by a moderator:
ondoa shaka nitamwambia shem wako Mndengereko akupe nafasi uipendayo


mpaka sasa mi ni memba na kadi nishachukua
hiyo kazi ya utunza fedha nina uzoefu nayo
nyumbani kwangu nina kibubu chenye
kufuli,siweki pesa benki kuepuka foleni!!
 
Last edited by a moderator:
jamani msimalize kadi... bado niko njia panda naja...!!!
 
mpaka hapo ushanchanganya kabisa
nachosubiri tu kwangu kutwaliwa kwenda
juu mbinguni na si kwingineko
 
Nddo mie unasemaje?????

mbona kama umenikasirikia hivi? lengo kuu la teamrafiki ni kupendana, kuonyeshana upendo! umenielewa lakini?

sasa punguza hasira nikuambie kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…