nashukuru mkuu, najua nilivyo mwadilifu Karucee analijua hili......wewe tabia yako mkuu haina shaka wewe ni mwanachama halali tayari wa #teamrafiki tafadhali ingia kundini tunamalizia kukutengenezea kadi yako
Teh teh teh teh
Mara tuairishe! Sijui wanaairisha na kupokea laki tatu!
Mkuu OLESAIDIMU Mimi nimemuona Karucee yuko hapa na Wewe haupo ndio nikamuuliza Ole ako wapi?
Tafadhali hiyo kadi isiwe na nembo au rangi ya chama chochote cha siasa mimi na siasa mbalimbali.
Mndengereko hapa kwenye meza yangu fomu ni nyingi sana. Member alieomba fomu tunahitaji kupata taarifa zako kama hukupitia kwakina Excel na mwekundu
karucee kasema.. still day to day costs are never avoided... this will is not that of perfect competitive market...
this is where you go at every step you incur cost, whether direct or inderect... jamani mbona haya mambo yako wazi?