Introducing teamrafiki

Excel kashapewa red card na atoke nje kabisa ya hii team
Ila Mashaxizo yuko kwenye uchunguzi naasipojirekebisha nae atapewa red card

aliyetoa kadi ni mwenyekiti ama mtendaji?

mbona sipewi organisation structure?

hivi kila mtu anaruhusiwa kuongea chochote tu from nowhere? heee!!
 
karucee!! listen not to Eiyer! he i against my views unajua! hao ndio unasikia mlengo wa kushoto!!

Ungejua kuwa baba paroko anavyoaminika hapa kwa mazuri yake wala usingejisumbua kusema hayo

Hebu tulia kijana!
 
huyo Excel hawezi kuwa mfadhili ana jeuri sana.

actually, mbali na ufadhili, ntawaletea miradi mingine mingi tu ili msikae bure vijiweni!!!

timu yenu ni nzuri! ni wazo zuri sana vijana!!! mwaka huu wenu kabisa!!! lazima muinuke kupitia mimi excel...

vigelegele tafadhali....!!!!!!!!!!!
 
mimi ni mfadhili tuuu... nimewaomba listi ya members hamtaki kutoa!

what kind of joint venture is this?

where do you keep documents??
Excel huu ubazazi wewe ni wakurithi au umo ndani ya damu? Mbona mmebaki wachache huko ubazazini?
 
Last edited by a moderator:
Ungejua kuwa baba paroko anavyoaminika hapa kwa mazuri yake wala usingejisumbua kusema hayo

Hebu tulia kijana!

paroko usijali... mkombozi wa timu kafika... whether you like or not!!! lazima niwasaidie!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…