Introducing teamrafiki

Last edited by a moderator:
mi mwenyewe nashangaa!

mi najua matatizo yote ya kifedha kwenye timu yenu ntayamaliza mimi, hamna mwenye uwezo kati yenu...

chama kitakufa bila mimi aisee!!


heheheh jidanganye hivyo hivyo.
 
hivi Mr Rocky na ndugu Ntuzu.. kuna kosa gani endapo timu hii ikipata mfadhili tu mzuri ambae ataiwezesha timu kuwa strong?

hamuoni kwamba ntakuwa wa manufaa sana kwenu?

nimeomba organization structure... mpaka sasa naona kimya tu!
 
Last edited by a moderator:
mi mwenyewe nashangaa!

mi najua matatizo yote ya kifedha kwenye timu yenu ntayamaliza mimi, hamna mwenye uwezo kati yenu...

chama kitakufa bila mimi aisee!!

Aa wapi!
 
Mndengereko usitumie counter attac kujikinga, just confes na utubu ili tuwe pamoja ktk timu yetu maridhawa! Nafasi yako ni ya kudevelop tu na wala bazazi hawezi kuwa muasisi wa #team rafiki!

usiite time yetu wakati hata kadi huna wala ofisi hujui zinapatikana wapi omba radhi kwanza alafu uandike barua kutaka kuomba uanachama otherwise wewe sio miongoni mwetu
 
Hatutaki maharibiko ktk timu yetu (#teamrafiki) thus why mabazazi kama wewe na Mndengereko either mkubali kama mlikua mabazazi na mtuhakikishie mnaacha mara moja or mbaki huko huko!

kijana kweli uko kwenye foolish age!

mwanzilishi wako Mndengereko bado unamuita bazazi? ushapewa registration number wewe?
Mr Rocky, Ntuzu na Karucee.. hebu nipeni financial conditions za hii firm yenu.. naweza kuwasaidia!!!
 
Last edited by a moderator:
Knick knack, paddy whack

Give the dog a bone

Give the dog a bone

And he'll find his way home

This old man, he played one,
He played knick-knack on my thumb.
With a knick-knack, paddy whack,
Give a dog a bone,
This old man came rolling home.
 
lazima hio sera iwepo... la sivyo urafiki hautokuwepo kabisa..... NAM muhimu! NAM inaleta uhuru....
ukiwa NAM maana yake unakuwa na chembechembe za ubazazi kitu ambacho hatukitaki
 

Swadaktaaa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wafadhili wanakaribishwa kama sehemu ya marafiki, Unataka kufadhili nini labda Mkuu? tuanzie tu hapo.
CC Mr Rocky, Ntunzu Mndengereko na #TR wote

hivi Mr Rocky na ndugu Ntuzu.. kuna kosa gani endapo timu hii ikipata mfadhili tu mzuri ambae ataiwezesha timu kuwa strong?

hamuoni kwamba ntakuwa wa manufaa sana kwenu?

nimeomba organization structure... mpaka sasa naona kimya tu!
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
RED CARD KWA Excel

whaaaat? unapiga teke gunia la almasi????

kijana financial year ndo hii kumbuka... tim yenu ntaiminya kwenye bunge la katiba...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

sijui mtajiendeshaje sasa..!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…