Interview za kiwaki sana

So hapo ishu sio lugha. Ishu ni huna shule.

Kazi nyingi hazihitaji kingereza kingi cha kuongea zaidi ya competent kwenye taaluma yako
Maswali ya taaluma yangu nimejibu poa kabisa na nina uhakika mi ndo narudi pale ila sasa kuna mambo anazunguka sana mpaka unashangaa huku kote wapi jamaaa...
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™
 
Faza ni wewe kabisa jua nn mzee haya maisha tuu one day yes.
Huku unaongea kiswahili vzr ila mule ndani mwanangu unakaza kweli we jamaa wewe πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
No sio Mimi. Ila like two weeks ago Kuna madogo nilikuwa nawainterview kwenye program moja. Ni fresh gradutes wa degree ya kwanza. Asee Kuna mabinti wawili nikawaambia tu waongee kiswahili. Maana ilikuwa too much lugha iliwatetemesha kinoma. Kwahiyo nakuelewa mdogo wangu
 
Kwahiyo shemeji badaa ya kunifundisha ngeli ukaamua kuni downloadisha app ya kubet na kupotea!? Sio sawa shem lake!😧
 
Umeanza nitisha hapa daaah πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ huyu jamaa ana hatare sana ni kweli lugha changamoto ila mtu kama mimi niulize basic ya kazi yangu najibu short and clear lakini ukija mambo ya how you can.... Mambo ya communication na wenzako mambo ya team work khaaaa
 
Kwa hio unataka umpangie interviewer cha kukuuliza?
 
Unarudi paleπŸ˜„πŸ˜„ kwamba wengine uliona wakijibu?
Maana niliokutana nao nawajua tumesoma chuo kimoja..

Yale maswali yanamtaka mtu akiyekua ana practice vile vtu daily sasa..

Jamaa aliyetoka amepoa sana mpaka nikashangaaa..

Kuna maswali hadi ya vitendo .mfano pitisha sofa kwenye mlango mdogo...
 
Maana niliokutana nao nawajua tumesoma chuo kimoja..

Yale maswali yanamtaka mtu akiyekua ana practice vile vtu daily sasa..

Jamaa aliyetoka amepoa sana mpaka nikashangaaa..

Kuna maswali hadi ya vitendo .mfano pitisha sofa kwenye mlango mdogo...
Pitisha nini sofa kwenye mlango mdogo hio umefanya translation unauhakika alikuuliza hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…