Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,284
- 79,894
Deep natural hio ni perfume km sijakosea ni sabuni ya kuogea au lotion ya kike, imekuaje mpaka mkafika huko kwenye deep natural?Nimesema kiasi chake akasema your deep natural... Sijui nn huko manina yule
Duuh nomaHmna wamama huko wadada wembamba tuu mwanzo mwisho an
Mkuu mi selewi an jamaa alikua anaongea tu hajari mwenzake kama naelewa au laaa ..Deep natural hio ni perfume km sijakosea ni sabuni ya kuogea au lotion ya kike, imekuaje mpaka mkafika huko kwenye deep natural?
Umenikumbusha mbali kidogo.Daaah ndgu acha kabisa pipo zipo seriously sijajua lengo lao nn maana huku nje tunapiga story vzr ila mule ndani jamaa alibadilika an alivoanza kujitambulisha tuu nikajua leo cha kike
Mtibeli yule jamaa ni mzambia ishu ni maswali anayouliza unakuta hata huna Idea ya terminology husikaUkishajiamini kingereza hakisumbui kama umefika level ya Degree.
Ongea hata kama ni Broken utashangaa kinashuka tuu.
Lakini ukitaka kuongea usikosee ndio utakosea mpaka ukome
Very true, na ukijua haujui basi usiongee sana unaweza ukahama reli ukajikuta unaanza kumix madesa unachanganya kiswakinge mpaka wanakuuliza kwani unaongea nini?Ukishajiamini kingereza hakisumbui kama umefika level ya Degree.
Ongea hata kama ni Broken utashangaa kinashuka tuu.
Lakini ukitaka kuongea usikosee ndio utakosea mpaka ukome
Ebu tulazie maswali mawili uliyochapwa nayo huko ambayo yamekutoa mchezoni ni yapi?Mtibeli yule jamaa ni mzambia ishu ni maswali anayouliza unakuta hata huna Idea ya terminology husika
Ukute we ndo yule jamaa nini ππππππππππ faza haya maisha tuuTatizo la kudanganya kwenye cv matokeo yake mnaitwa kwenye interview ambazo sio za kazi unazoweza, halafu unasema ngeli ngumu. Neno gani la kiinglishi ambalo hukulielewa?
Very true, na ukijua haujui basi usiongee sana unaweza ukahama reli ukajikuta unaanza kumix madesa unachanganya kiswakinge mpaka wanakuuliza kwani unaongea nini?
Hukumkazia macho au ulikua unaangalia chini?Mkuu mi selewi an jamaa alikua anaongea tu hajari mwenzake kama naelewa au laaa ..
Yaaan daah yule jamaaa badae namtumia sms namwambia ule sio wana
Khaa kijana aende kwa Ras SimbaMunch wa Annabelle mwenyekiti hebu toa neno la mwisho kwa kijana hapaπ
Mkuu acha kabisa acha an daaah leo cha kike jamaa alivo maliza kujitambulisha tuu baada ya hapo sikuelewa kitu dadek.. ππππππ₯π₯π₯π₯π₯ππππUmenikumbusha mbali kidogo.
Mwaka 2021 nilifanya interview Mikochen kazi ya Key Account Manager. Interview ilikuwa poa. maswal unakuta kwa Laptop, na unajibu kwa kutype. yaan haikuwa oral interview.
Kwahiyo walikuwa wanapima speed , Lugha na Uelewa.
tukapata ile kaz washkaj wawil.
Sasa Siku tunaenda kuanza kaz. Anayetupa training kwanza ni Mwenye kampun mwenyewe na ni mGerman. Kiswahili anajidai hajui π€£π€£π€£π€£. Ni English tu.
Alaf ofisin kwake ndio na sehem na sisi kuna meza na viti vyetu. Kwahiyo pale room ni watu watatu tu . Na kuna watu wanareport kwetu alaf sisi tunareport kwake Direct π€£π€£π€£π€£. Department nyingne ziko ground floor na wengne vyumba vingne vya juu.
ππππ miaka miwili nilipiga pald. All in all imenisaidia sana kukuza confidence ya kuongea ngeli.
Poor Brain changamoto kama hizo ndio zinakujenga uwe bora zaid.
Hahaaa Mimi sio huyo jamaa. Mm ni fala mmoja tu wa hovyo Niko huku ndichi.Ukute we ndo yule jamaa nini ππππππππππ faza haya maisha tuu
Mtibeli yule jamaa ni mzambia ishu ni maswali anayouliza unakuta hata huna Idea ya terminology husika
Sasa nikasema ket switch to swahili jamaa akasema I don't understandVery true, na ukijua haujui basi usiongee sana unaweza ukahama reli ukajikuta unaanza kumix madesa unachanganya kiswakinge mpaka wanakuuliza kwani unaongea nini?
Tell me your backgroundNdio hivyo hata uwe na akili kiasi gani kama huwezi kueleza huo ujuzi wako kwa kimombo ni disaster. Fursa zitakuwa zinapita kila siku.
Faza ni wewe kabisa jua nn mzee haya maisha tuu one day yes.Hahaaa Mimi sio huyo jamaa. Mm ni fala mmoja tu wa hovyo Niko huku ndichi.