Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Wakubwa mliopiga leo interview mbona kimya hata vidondoo dondoo kizuri kula na nduguyooo ooooh tutakutana training hata mkibana 😂😂
 
Hawa Ma HR sijui wanafanya vipi kazi zao kufanya shortlist ya watu saa zingine, me nadhani wanahita wote tu uwanja uwe wako! kwa siku watu wanafanya mara 3 dah
 
bora nitulie nilipo niliitwa sijaenda ilikuw a leo naona kazi niliopo ni bora zaidi ya hao
 
Hawa Ma HR sijui wanafanya vipi kazi zao kufanya shortlist ya watu saa zingine, me nadhani wanahita wote tu uwanja uwe wako! kwa siku watu wanafanya mara 3 dah
Ma hr wamejaziwa vimemo hatari
 
Kwahyo tuje au tuwaachie hao hao wanatosha?
Usije tuu hata Hawa waliyopo nao ni wengi Sana Tena Sana na ni bench ya 11:00am-12:00am ,,bado Kuna bench ya 8:00pm -9:00pm bado wale wa asubuhi, wale wa kesho na wale wa Jana😂😂😂😂 Yani kama hauko dar usije tuu komaa huko huko mkoani
 
Mliopo eneo la tukio mbona kimya au ndio kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe wanduguuuuu, tumefunzwa kuishi kijamaa ndugu zanguuuuu
 
wanao fanya watu waonekane wengi ipo ivi
kuna watu wapo sehemu wanakazi zao ila waliomba na kuitwa ili kubadili kazi au maslai
so ingekuwa wanaenda craduate tu ingekuwa gud

mi nimewachia wadogo zangu ila zikitangazwa kubwa za serekali tutaelewana
 
Back
Top Bottom