Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Watu wote hao!!???
alafu unakuta watu wapo wengi vyuoni wanasoma banking!!
Mm bora nijifunze namna bora ya kufuga nyuki....
au nijifunze namna bora ya kuhifadhi mazao yanayowahi kuharibika
 
IMG_6345.jpg

Watu wanaingia uwanja wa vita
 
Kwa umoja huu huu wa kusoma na kukoment uendelee hata mara baada ya tokeo kutoka.
 
Back
Top Bottom