Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.

Nilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.

Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.

Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.

mashirika mengi ya kimataifa utoa interview kama hizo, nilifanya interview shipping co moja ,maswali hamsini dakika kumi na mbili,aina hii ya interview inasaidia kuandoa upendeleo kwenye kusahihisha
 
Mtoa mada nikiwa ifm tulikuwa tunafanya maswali 50 kwa dakika 40.

Nadiliki kusema hukuandaliwa vyema lkn mfumo huo no sahiho sana, unaondoa kbs upendeleo maana system nzima inakuwa segregated duty wise.
 
Halafu cha kushangaza zaidi::


Mimi huwa nashindwa kuelewa nimeona watu wana vitambulisho vya Standard chartered, Crdb, NBC, na makampuni makubwa makubwa nao wame apply kazi. Sasa hivi ni tamaa ya kutaka kufanya kazi Nssf au? Mtu unafanya kazi unalipwa vizuri mfano " standard chartered wanalipwa si pungufu ya laki nane take home" yanini kuja kutuzibia nafasi tusio na ajira kabisa?

Huu ni ulimbukeni na tamaa tu!!

I hate those who came from reputable companies like standard chartered, crdb, to apply for our position..

real inauma sana....wadau.

tamaa tu!! mkuu hapo ni kuwazibia wengine... na waajiri wengi wanachukuwa wenye experience
 
umeshaambiwa swali limekamilika na linafanyika imagine uko kwenye chumba cha mtihani na umekutana na swali hilo je utalijibu kwa kuuliza maswali kama unavyouliiza hapa.?kusema rahisi lakini kufanya ni kazi sana

Kwenye mitihani hata ya viwango vya juu kabisa maswali yanakosewa.

Kwa hiyo mimi kusema swali halijakamilika kuangaliwe kwa kuangalia swali lenyewe na hoja yangu.

Pili, inawezekana kabisa swali lililotolewa lilikamilika, huyu aliyetuletea awali hapa katika mapepe yake ya chumba cha mtuhani yaliyochanganywa na ugonjwa wetu wa kitaifa wa kuogopa hesabu, kashindwa kulielewa na kutuletea kama lilivyowasilishwa.

Yote nawili yanawezekana.

Hoja yangu ya msingi b inabaki palepale.

Swali tuliloletewa hapa halijibiki, kwa kuwa halijakamilika.

Na kama kuna mtu anasema limekamilika ajibu maswali yangu niliyouliza kuhusu swali hilo.
 
Kweli Watanzania wengi wanamaliza vyuo hawajui vitu vingi vinavyowahusu.

Hizo test za hiv tulifanya sana wakat tunafukuzia EY,KPMG,PWC na the likes.ni kawaida.

Kingine et unashangaa watu kuomba kazi huku wana kazi ,khaa aliekwambia kaz ni ukoo kuwa hauwez hama ni nani? Ni soko huria hili na vitu vyote vinakuwa determined na forces za demand & supplies
 
tamaa tu!! mkuu hapo ni kuwazibia wengine... na waajiri wengi wanachukuwa wenye experience

Et kuwazibia wengine!!
Nyie achen Mawazo ya kijamaa haya. Zama hizo zilishapita zaman.

This is the world of capitalism & Globalisation .it is full of competition
 
binafsi nlifanya hyo test, ilikua fair enough kwa graduate ambae amejijenga vzuri kulingana na soko la ajira walau afanye 3/4 ya maswali....mfano section ya kwanza ambayo ni english ni kias cha sekunde 10 kupata jibu,section ya operation napo pia fasta huku unasave tym for math qstnz.. Kwahyo tuachage kulaumu badala yake kujifunza kupitia vitu kama hivi
 
Hawajasema wanataka watu wangapi
Hata wangesema nafasi 100 kama wewe kafiiiir hatukuhitaji nssf.ni zamu yetu kutamba.mlizoea sana kujiona mnaweza na kukalia ofisi zote sasa imekula kwenu nssf ndo mambo yote.hongera dau mungu akulinde uwapende waislam wenzako.mungu akupe nini zaidi ya kupewa majibu ya maswali ya interview na kupata ajira nssf?
 
ww kataleya pumbavu kabisa aliyekuambia pale wanaajiri kwa dini zao ni nani wakati hata meneja muajiri ni mkristo, kichwa chako kimejaa funza. stupid wa Tanzania ww.
 
Mavota umeona comment ipi nimezungumzia udini?au umependa tu kunitusi?God bles u
 
sorry, nilikuwa namjibu huyo aliyesema hata nafasi zingekuwa 100 kama ww kafiiir hatukuhitaji nssf. sorry pls.
 
unajua kufanya interview kunahitaji technique, mara nyingi maswali ya mwanzo yanakuwa magumu halafu ya mwisho marahisi, binafsi nilimaliza mpaka nikawa narudia, mi hufanya hivi
nasoma maswali ya section husika, naangalia nnayoweza nisiyoweza naacha mpaka secion ya mwisho,
halfu nabaki na muda mwingi wakufanya yale niliyoyaacha na akili ikiwa imetulia kwa style hii unaweza kumalza, kuna interview zinafanywa tena hesabu tupu maswali 50 dk 30.
 
ngoja niendelee kusoma tu maana watu wote humu ni majiniazi ukitoa mimi na mleta mada.
 
Anapoamua kuwasaidia anawasaidia kwa muda gani? Sekunde moja, dakika moja, nusu saa, saa moja au? Swali lilikuwa kwa kiswahili au kiingereza? Huenda na wewe hata swali hukulielewa (hasa kama lilikuwa kwa kiingereza)
Inawezekana hata aliyeandika swali hana jibu.
 
Hata wangesema nafasi 100 kama wewe kafiiiir hatukuhitaji nssf.ni zamu yetu kutamba.mlizoea sana kujiona mnaweza na kukalia ofisi zote sasa imekula kwenu nssf ndo mambo yote.hongera dau mungu akulinde uwapende waislam wenzako.mungu akupe nini zaidi ya kupewa majibu ya maswali ya interview na kupata ajira nssf?
km watu kama nyinyi mnaajiriwa pale basi nssf imegeuka sehemu ya kulakula bajia na kunya kunya tu.hamna kazi mnayoweza nyinyi kina yakhe zaidi ya unaa na kujaza choo tu.
 
kwa mtindo huu utaruka maswali yote mia......na umalize ndani ya dk kumi na kweli utaonekana uko vizuri kwenye time management na prioritization ...

Labda wewe ndio utaruka maswali yote, mimi sitaruka maswali yote . kama utaruka maswali yote kwenye aptitude test then hukustahili
Kama hujui kitu bora ukae kimya na ujifunze kuliko kubisha tu ilimradi na wewe umechangia
 
Back
Top Bottom