Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

Utaruka mangapi? hili swali si kwamba limekosewa ila linahitaji muda kufikiri ndipo inapokuja hoja yangu kuwa huwezi kulifanya kwa dk 1.

A critique on the completeness of the question was issued.

It is still unadressed.

Until you address the issues raised in that critique, you cannot honestly say that the question is complete.
 
Ndugu interview za namna hiyo next time usikimbilie kumaliza maswali,suala ni kufanya maswali kwa uhakika.Hata kama hukumaliza ukapata maswali 45 kati ya 50 uliyofanya uko kwenye nafasi nzuri kuliko yule aliyefanya maswali yote 100 halafu akapata 60.Mtihani huo ulikuwa ni wa kukupima je,ukiwa ofisini na kazi ni nyingi zimekuelemea na muda hautoshi utafanya nini?je,utafanya zote kwa kulipua ilimradi ziishe au utafanya zilizo ndani ya uwezo wako lakini kwa ufanisi??????Nadhani kwa maelezo haya utakuwa umenipata mkuu,hamjaonewa ila wanataka the best people kiutendaji.Next time ukifanya interview,look at the big picture.

Na hilo ndio huwa linakuaga lengo mara nyingi la mitihani ktk interview. Nimekusoma sana mkuu.
 
Utaruka mangapi? hili swali si kwamba limekosewa ila linahitaji muda kufikiri ndipo inapokuja hoja yangu kuwa huwezi kulifanya kwa dk 1.

Kutokana na maelezo yako hii ni aptitude test yako ya kwanza. Achana na ubishi wa kwamba watu wanaweza kulijibu hilo swali au la. Nakuhakikishia hayo maswali ni fair na yako hivyo kwenye test nyingi. umekuja hapa JF watu wengi wamekuambia ni za kawaida kwa ajili wameshapitia nyingi kama hizo.
Chuo ulichosoma walitakiwa wakueleze kama kwenye soko la ajira kuna vitu kama hivi, but this is a story for another day.

The way forward : with a help of Google kaa ujipange ujifunzi jinsi ya kufanya aptitude test. Natumai kwamba interview yako nyingine utakuwa umeshajifunza. Wacha jazba, All the best
 
Swali kama lilivyoandikwa halijakamilika na hivyo haliwezi kujibika.
Kijana anonekana ni mgeni kwenye soko la ajira, anaona kama ameonewa. Kumbe ni maswali standard, alitegemea ataambiwa hayo maswali ni mengi kumbe ni vitu vya kawaida all over the world. Na hayo maswali mengi ni multiple choice
 
Sasa hiyo si simultaneous equation ya form one, au unataka mpaka uandaliwe iwekwe kwenye simultaneous equation form?

Alternatively unaweza kuisolve kwa kuangalia tu 30A = 40 B =60C.
Inaonekana kama swali la kutafuta average ya 30, 40 na 60 linawachachafya wabongo kwa kuwa wamepigwa changa la macho la C "kusaidia".

Typical aptitude test tricks.

Swali kama lilivyoandikwa halijakamilika na hivyo haliwezi kujibika.
Kiranga which is which, umesema

1. Unaweza kutumia simultaneous equation,
2. Unaweza kutumia equation hii 30A = 40B = 60C
3. Unatafuta average ya 30, 40, na 60
4. Mwisho umekuja ku realize haliwezi kufayika kwa vile limekosewa.

Umetumia muda gani to come to the conclusion, one minute?
 
Kijana anonekana ni mgeni kwenye soko la ajira, anaona kama ameonewa. Kumbe ni maswali standard, alitegemea ataambiwa hayo maswali ni mengi kumbe ni vitu vya kawaida all over the world. Na hayo maswali mengi ni multiple choice

umefunga mjadala huu mkuu....from beginning nilijua tu hiyo ilikua ni test yake ya kwanza mbaya zaidi ni mbishi hataki kukubali kuna watu tumefanya hizi test nyingi sana na ziko fair....anafikiri ni kama test za chuo
 
Kijana anonekana ni mgeni kwenye soko la ajira, anaona kama ameonewa. Kumbe ni maswali standard, alitegemea ataambiwa hayo maswali ni mengi kumbe ni vitu vya kawaida all over the world. Na hayo maswali mengi ni multiple choice
Mkuu mimi si mgeni kwenye interview na si tu nimefanya interview bali nimeshawahi kutunga maswali ya interview, ninachoangalia hapa ni rationale ya maswali na muda.

Hapa nimeweka swali moja tu lakini hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu achilia mbali kuja na idea ya jinsi ya kulijibu, mwisho mmekimbilia kusema limekosewa.
 
.
Wewekama ni mwenyeji basi utakuwa umefanya interview za aina moja tu, na hii ni aptitude test yako ya kwanza. Kwa hiyo swala la ugeni linarudi palepale.
Embu uliza swali lako vile vile na kwa lugha ile ile uliyoulizwa wewe sio uchanganye mambo swali likose maana halafu useme watu hawawezi kujibu. Weka exact swali lilivyokuwa.
 
hahaha your position? ?? acha ufala dogo embrace the challenge....you are suffering from Inferiority Syndrome....hivi wewe ni wa kike ama?

@ Rio Tinto eheeeee ufara tena???

eti mi ni jike au dume??

Ha ha ha ha......ahsante Rio Tinto
 
Last edited by a moderator:
@ Rio Tinto eheeeee ufara tena???

eti mi ni jike au dume??

Ha ha ha ha......ahsante Rio Tinto
Achana naye huyo mimi nimeshamdharau toka post yake ya kwanza,
hachangii kwa kujenga bali anakuja kutukana wachangiaji.
 
Kiranga which is which, umesema

1. Unaweza kutumia simultaneous equation,
2. Unaweza kutumia equation hii 30A = 40B = 60C
3. Unatafuta average ya 30, 40, na 60
4. Mwisho umekuja ku realize haliwezi kufayika kwa vile limekosewa.

Umetumia muda gani to come to the conclusion, one minute?

Unasoma posts zangu au unarukia tu? Nikishapita huko kitambo.

Nishaongekea suala la hawa watu kuwa overaggressive kwenye muda wakati mwingine, unataka nikupe post number?

Aptitude test ya sehemu yenye HR hawawezi kutoa swali incomplete kama hilo. Rudi kaangalie tena swali lilivyoulizwa ukilete hapa, inaonekana katika purukushani za kumaliza hujalielewa swali umelileta hapa sivyo.

Either that or NSSF is going down the drain.
 
Swali lile linaangukia kwenye topic ya Sequence and Series hasa Arithmetic Progression (AP) kwa vile kuna series ya matukio after every 3 hours. Unatakiwa ujue C atawasaidia mara ngapi ili ujue jumla ya muda aliowasaidia.
 
Kama hujajibu after three hours C anapumzika au hapumziki, suala zima la three hours lipo hewani bado.

Mimi nafanya kazi masaa 8. Nikisema nafanya kazi every two hours bila kuelezea baada ya two hours napumzika auninakuwaje utaelewa niji?

Maana hata nikifanya kazi masaa manane yote mfululizo nafanya kazi every two hours pia.
 
Kwa aptitude test, maswali 100 kwa dakika 135 ni nyingi sana... in short mmependelewa! Katika hali ya kawaida hapo mngepewa dakika 30-50!

Umeona eeh huyu hajaona kitu cha utumishi swali moja la essay ufanye ndani ya dk 10
 
Mkuu mimi si mgeni kwenye interview na si tu nimefanya interview bali nimeshawahi kutunga maswali ya interview, ninachoangalia hapa ni rationale ya maswali na muda.

Hapa nimeweka swali moja tu lakini hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu achilia mbali kuja na idea ya jinsi ya kulijibu, mwisho mmekimbilia kusema limekosewa.

mkuu nimekwishajibu swali lako.
 
Anapoamua kuwasaidia anawasaidia kwa muda gani? Sekunde moja, dakika moja, nusu saa, saa moja au? Swali lilikuwa kwa kiswahili au kiingereza? Huenda na wewe hata swali hukulielewa (hasa kama lilikuwa kwa kiingereza)

kama hujalielewa hili swali basi naamini wewe usingeweza kujibu hata swali moja mle ndani..inshort hili nswali limekamilika na linamajibu kwa hapo hapo lilipo...mimi binafs nimelipata
 
Nimeelezea kirefu mapungufu ya swali, labda ungeyaelezea kwa nini si mapungufu.

Huyo C anapumzika au hapumziki baada ya masaa matatu? Kama anapumzika, kwa muda gani? Kama hapumziki ana anatumia capacity ya C, why shouldnit matter anamsaidia nani, si anafanya kazi kwa vapacity ya C throughout? Why shouldnt thus be a question of the averqge of A,B and C?

Usipoeleza hili hujakamilisha swali.

Pia, C akimsaidia A anafanya kazi kwa capacity ya A au ya C?

umeshaambiwa swali limekamilika na linafanyika imagine uko kwenye chumba cha mtihani na umekutana na swali hilo je utalijibu kwa kuuliza maswali kama unavyouliiza hapa.?kusema rahisi lakini kufanya ni kazi sana
 
Umengangania kwenye hili swali, umepoteza dakika nyingi sana hapa, kama uliwezi unaruka unaenda kwenye jingine.
Mimi hilo swali sijalielewa, labda nahisi wewe umeandika vibaya au mimi sijui au nitatumia mda mwingi kulifanya kwa hiyo naliruka naenda jingine (time management na prioritization). I hope you have understood

kwa mtindo huu utaruka maswali yote mia......na umalize ndani ya dk kumi na kweli utaonekana uko vizuri kwenye time management na prioritization ...
 
Back
Top Bottom