Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,744
- 145,482
Kiranga mimi sihitaji kuwa sympathetic uko free kunieleza ujuavyo wala si lazima mawazo yetu yafanane.
Sababu ya kukupa hadi saa 5 ni kuwa hata ukipewa muda wa masaa mawili unaweza usipate jibu la swali hilo sembuse ndani ya chumba cha mtihani under pressure.
Nishakujibu mbona? Unanisoma?
Swali lako lilivyoulizwa kwanza lina mapungufu, halijibiki kwa sababu halina taarifa za kutosha kujibika.