Khaa!! Unashindwa hata kutumia akili kidogo tu.Typing error ipo kwa kila mtu. Ngoja nikufunze kidogo, ukiona unasoma hauelewi basi angalia keyboard yako, angalia herufi usiyoielewa ipo kati ya herufi gani, kama ni x ipo kati ya z na c chagua inayoweza kuleta maana kwenye sentence. iweke kisha unaelewa basi kwisha. Siyo unaleta malalamiko ya kijinga huku ukiandika uharo huo kwenye redhivi hiyo x huwa munatumia badala ya herufi gani? muwe munaandika herufi inayotakiwa, munaboa sana.
Unachofanya si kizuri,usizani kwa sababu JF panaitwa the home of great thinker si kila member ni great thinker,hayo ni maneno tu wameweka.Sasa wewe topic si ya dini wewe tayari umeanza ,mimi huwa nawaangalia tu mnaojifanya mnazijua dini .Kaffir ni neno la kiarabu maana mojawapo ni "mtu mpagani" sema muslim ummah wanalitumia sana kwa watu wasio muslim lakini hata kama hutaki hata kwenye bible neno "Kaffir" limetumiwa kuonyesha mtu asiyemwamini "Mzee wa Siku" a.k.a Yehova.Na sijui kama unafahamu hata katika uislam muislam pia anaweza kuwa Kaffir baada ya kusoma Quran na kukataa baadhi ya mambo/mafunzo.Sipendi kujadili sana mambo ya dini ila kuna wapotoshaji wengi hapa JF,that is all I can say.I apologise for anyone whose mood will change in a -VE way because of what I have written.Hata wangesema nafasi 100 kama wewe kafiiiir hatukuhitaji nssf.ni zamu yetu kutamba.mlizoea sana kujiona mnaweza na kukalia ofisi zote sasa imekula kwenu nssf ndo mambo yote.hongera dau mungu akulinde uwapende waislam wenzako.mungu akupe nini zaidi ya kupewa majibu ya maswali ya interview na kupata ajira nssf?
km watu kama nyinyi mnaajiriwa pale basi nssf imegeuka sehemu ya kulakula bajia na kunya kunya tu.hamna kazi mnayoweza nyinyi kina yakhe zaidi ya unaa na kujaza choo tu.
Nasikia NSSF wanaita watahiniwa wote sijui nini kimetokea maana second written interview huhusisha watahiniwa waliopita interview ya kwanza lakini si wote.Nilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.
Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.
Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.
Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.