Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

wakuu, hivi kwenye group moja kwa usaili wa awamu ya kwanza, huwa wanachaguliwa wangap? Kupita kwa ajili ya training.
 
Trophy nimekusoma sana na umetoa mwanga kwa watu wengi, be blessed mkuu. One or two questions from me, je ukiwa na degree unakuwa treated sawa na ambaye hana? nikiwa na maana kwenye mshahara na aina ya kazi, na je baada ya ajira unapata full benefits kama bima ya afya, ppf,nssf etc? na vipi benefits nyingine?
Thanks and sorry kwa maswali mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa ni wabahili hatari,wanawaweka kwenye academy yao mwezi mzima bila kupewa allowance yoyote then ukipangiwa musoma,nauli ya kukupeleka ni yako.kwa kifupi hawajajipanga fresh.
 
Milioni tatu my foot..kampuni ofisi za kontena kimandolu mshahara milioni tatu? Kamdanganye dadako

Ofisi zao ziko Mt Meru ilipo DTB Bank juu wameweka sign board na sio kimandolu
 
Oyaaaaaaaaaa plz nisaidie namna ya kuingia kwenye usaili m-power..link yao,,,namba yangu ni 0762411927 plz naomben mnitumie hiyo link ya interview m-power online
 
Juzi nilipata simu toka kwa baba yangu aliyeko kijijini,akasema kuna watu wanatafuta masoko ya umeme kampuni yao inaitwa M-Power.

Naomba kuwafahamu hawa jamaa kupitia kwenu wana JF, huduma zao, na life time ya umeme wao.
 
Hawa jamaa umeme wao ni kama luku... yaani unafungiwa paneli na taa kadhaa kulingana na ukubwa wa mahitaji... matumizi yake ni pale unapolipia kwa mpesa au tugo pesa ndo unapewa units kama luku vile... waweza nunua kuanzia wa tsh 500 na kuendelea..
 
Aisee.., this is such a creative endevour. How do they control hotwiring(wizi)
 
Yaani ni umeme wa solar ila walipia ndo utumie?
 
Ni wa solar kawaida.. sema ni bei rahisi sana kufungiwa...
Nadhani wao faida wanaipata pale unaponunua kama luku ili uweze kuutumia...
Last year ilikuwa ni elfu 10 tu kufungiwa huu umeme... kwa Arusha... so basically ni LUKU....
 
M Power a.k.a. Offgrid Electrics - najua kwa sasa wapo mikoa ya Arusha (makao makuu) na Tanga. Wana mpango wa kupanukia mikoa mingine. Wanawaunganisha umeme wa sola watu kimsingi wasioweza kupata umeme wa Tanesco. Wanamiliki wenyewe na kuioperate installation yote ya sola wanayoifunga nyumbani kwako. Wewe unalipia units unazotumia - na ni wazi kuna minimum matumizi utakiwayo - otherwise wanalazimika kung'oa mitambo.

Wenye kampuni ni wamarekani - na wamelenga hasa kuhudumia wasio na access kwa tanesco.
 
Hata Mwanza na Geita wapo kwa sasa wameanzisha huduma ya umeme mkubwa kidogo wa unauziwa na smart tv ya solar malipo kwa mwezi ni Tsh 30000 na installation ni 30000 pia tv zao na radio jumla ni 230000
 
... Nilikuwa nao mwanzoni mwa wiki hii. Bei ni sh Laki 3. unatoa Alfu 60 unapewa solar panel ndogo, radio 1 ndogo ya solar, taa 2 na tochi vya solar na charger inayoweza kuchaji simu 4 kwa wakati mmoja. unatumi kwa siku 14 kisha baada ya hapo unaanza kulipia sh Alfu 1 kila siku kupitia mpesa hadi utakapomaliza deni la laki 240. ukiacha kulipia siku 2 jamaa wana uwezo wa kufunga acc yako kutoka ofsini kwao usipate huduma yoyote. guarantee ya vifaa hivi ni miaka 2. haya ndio maelezo niliyoyapata kutoka kwa wakala wa kampuni hiyo hapa mbezi mwisho. cha kuzingatia hapa ni kuwa mashine hii ya solar ina ukubwa wa laptop tu na sio ya kuweka juu bati bali unaiweka tu nje kwenye jua, unachaji simu zako na kusikiliza redio na giza likiingia unaingia nayo ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom