Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Ndugu wana jamvi,

Kuna hii kampuni inayojiita M-Power academy, tuli-apply kupitia online test na wameita watu kwenye interview trh. 24 Jan, binafsi siijui kiundani lakini wanasema wanashughulika na off grid electric (solar).

Kwa anaowaijua hii kampuni zaidi ya niijuavyo watusaidie, jinsi wanavyofanya biashara na jinsi wanavyoojiri au ajira yao ni ya commission? maana inavyoonekana hawajaanza leo kuita watu kwenye interview toka mwaka jana wasije kuwa mapatapeli .

Natanguliza shukrani.

Lakini hlo jina la M-power hawalitumii tena, kuna jamaa yangu anafanya kaz huko amenambia uongozi mzima umebadilika, jina la kampuni na mpaka mafao Kwa wafanya kazi yamepunguzwa. Ngoja nimdodose jamaa vyema afu ntadondosha info hapa.
 
Inaitwa Zola. Wamefanya restructuring.
 
Hii sindo Mobisol? Au ni tofauti? Maana na Mobisol ipo Arudha pia na wamiliki ni wazungu
 
Sio Mobisol.. Ni tofauti kabisa.. Zote ni za wazungu. Sisi tumelala tu wanapiga pesa Kwa kutuuzia Jua
 
hawatuuzii jua, wanatuuzia vifaa vinavyobadili radiations za jua kuwa umeme!!!...
ukisema wanatuuzia jua, una maanisha pia TANESCO wanatuuzia maji ya mtera!!!!!!...
 
Haha.. Kweli walikufundisha vizuri kutafuta wateja
 
hehehe...be positive, ni knowledge ya kawaida tu hii!!!! ;-) ....
mimi nilifundishwa kutafuta wateja, ila kujua what is happening mpaka umeme unatokea sio mauzo. :-D
 
Naelewa nilikuwa nazingua tu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom