Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

Milioni tatu my foot..kampuni ofisi za kontena kimandolu mshahara milioni tatu? Kamdanganye dadako
ha ha.....matusi ya nini sasa ......labda kwa taarifa yako tu hao jamaa walitimuliwa kazi na walikuja na mikataba yao ofisini wakihitaji ushauri wa sheria......rafiki yangu ameajiriwa pale miezi kama minne iliyopita...kwa hiyo siongei kwa kujifurahisha naongea kitu nina uhakika nacho....kama unaugomvi na hiyo kampuni weka wazi ila usijitutumue kwa kuongea uongo wa wazi kabisa....
 
Jamaa kakosa ndo anaeneza uongo humu, mimi nafanya kazi kwenye hii kampuni, ni Assistant Accountant, wanatulipa vizuri tu, na kwa taarifa yako sikiliza fuatilia vyombo vya habari siku ya ijumaa, tunazindua 1000000 solar home project. Hii kampuni ni nzuri sana na baada ya miaka mitatu utaisikia kwenye bomba tu, wewe unasema kwamba ni kakampuni kadogo wakati wana capital ya dola million saba puss other funds from other source .Utakaa sana mtaani kwa staili hiyo.

Inasikitisha sana kuona kwamba mpaka leo hii kuna watanzania wasomi wanajua hali ya ajira nchini, lakin wao wanakua mstar wa mbele kuwadiscourage wengine.. It's a shame..
 
Mimi pia nmetoka kufanya usaili ila watu wa humu kweny jf baadhi mnawachafua sana m power mbona office zko poa sana tena very conducive inveronment,ukikosa kazi haina maana kuweka bifu ndg
 
Mimi pia nmetoka kufanya usaili ila watu wa humu kweny jf baadhi mnawachafua sana m power mbona office zko poa sana tena very conducive inveronment,ukikosa kazi haina maana kuweka bifu ndg

Mkuu me nimemshangaa yule jamaa aliyesema ofice sijui ziko kwenye kontena sijui wap... Kumbe anakisiran chake anataka kutuletea hapa... Office zao haziko kama yy alivyokua anabwabwaja
 
Mkuu me nimemshangaa yule jamaa aliyesema ofice sijui ziko kwenye kontena sijui wap... Kumbe anakisiran chake anataka kutuletea hapa... Office zao haziko kama yy alivyokua anabwabwaja

yule mpuuzi,aliwah kufanya online test ya wale jamaa akachemka.
 
Jamaa walisema baada ya muda gani wataita waliochaguliwa wadau!.
 
ebu acha uongo,office za hawa jamaa ziko DTB bulding opposite mount meru hotel.

Jidanganye... Nime fanya kazi Offgrid Electric (m power ) DTB sio office za M Power ni call centre ndio iko pale... Na training academy yao inafanyikia pale.... Ofisi zao ziko mkabala na hotel ya NAURA SPRING una ingia kushoto barabara ya vumbi utakuta geti lime chorwa rangi zao... Ni kweli jamaa wa hapo juu alivo sema... Kwamba kuna jiko... Na msosi una pikwa hapo hapo ofisini mnakula mna rudi kazini... In short mzungu anataka aku utilize vilivo... A lot of frastruations kama wewe sio mvumilivu ....na degree yangu ya Economics and Finance ila kazi tulio kua tuki fanya ni tofauti kabisa ambayo hata darasa la saba wana fanya... Uta panda sana juu ya bati. .huna tofauti na fundi umeme sema wewe ni fundi solar.
 
Yaani utakuwa frustrated sana..kwanza ofisi iko migombani kimandolu kule arusha,ofisi ni sebule plus jiko pembeni..unakaa mezani unafanya kazi huku dada anakaanga samaki..ni sheeedah[/

Umefanya kazi pale nn??? Nime fanya nika aacha.. mwezi ulio pita
 
Hawa M PAWA wanahitaji watu wangapi kila mkoa wanaofanyisha usaili?

Wana ajiri wafanyakazi 30 adi 40 kila mwezi... Wana branches zao.. Arusha ambayo ni makao makuu, Mwanza, Geita, Mara, Moshi, Karatu, Tanga, Korogwe... Soon wata fungua Dodoma na Morogoro... Sasa iko hivi ukisha pita kwenye training yao ya mwezi mzima ambayo inafanyikia Arusha... Wao ndio wana aamua waku peleke wapi na sio wewe.. hutaki una aachaa.. kwaio usi shangae unatoka Dar. Una pelekwa Mara kufunga Solar...vijijini kwa salary ya laki 4 (400,000) .... Hawatoi reallocation allowance, na wala hawa toi allowance yoyote unapo kua kwenye training... Naku shauri pia kama huna ndugu Arusha beba hela yaku tosha... Na pengine fungasha mizigo yako vizuri uki bahatika uka pita training yao ya mwezi huta rudi kwenu... Uta pewa siku 2 zaku pumzika then huyooo mkoani kuanza kazi mara 1....
 
Anyway sio lazima kukubali bt ukweli ni kwamba OGE ni miongoni mwa kampuni zinazolipa vizuri..... RM anachukua more than 5M

Sasa wewe ni RM? RM wote wa M POWER niwa wazungu ambao wanajua toka chuo huko wamekuja Tanzania wame piga mashavu wa bongo ndio tuna funga solar... Kazi tunayo fanya ni ngumu kulinganisha na wanacho lipa... Unapo ongelea swala la salary usiji compare na manajea wako kijana jiangalie wewe.... Unajua kwa OGE it takes how much kua RM?? au una dhani wana toa toa tu.... Wale ni wazungu wanapo kaa weekend kule ILBORU wana discuss jinsi yaku piga mpunga wasepe.... Usidhani wata toa toa tu u RM... utajikuta una safiri sana vijijini kufunga hizo solar bila kuona promotion yoyote... Hapo ndio utakua discouraged.... As a matter of fact... ma RM wata kua wa ngapi manake kila mwezi wa ajiri wafanyakazi 30 adi 40 na kila mtu ana utamani huo u RM Sasa... Which means kufikia mwisho wa mwaka wata kua na TOTAL EMPLOYEES NOT LESS THAN 400
 
acha uongo huduma kwa wateja wanapokea kama mia saba hivi....na kuna jamaa wanawafahamu mishahara yao mmoja milion tatu na upuuzi mwingine millioni mbili na nusu na wao sio ma regional manager ...ni kati ya kampuni inayolipa vizuri tu......

Hakuna call centre anae kula laki 7 ....labda uniambie wale ma lead hapo sawa.. laki wale woote mle ndani wana kula 442,000/= kama bado uko kwenye probation ambayo ni miezi mi tatu... Baada ya hapo ndio inapanda kidogo hadi 500 au 550... Na Leaders wa call centre ni wa 3 kama sio wa 4 wengine wote ambao wana fika kama 50 na kitu hivi.. hawapokei io 700 kama unavyo sema... Na watakao kua wana kula 2M ni ma Service na Sales Coordinator tu.. ambao bado wako chini ya RM.....
 
Wana ajiri wafanyakazi 30 adi 40 kila mwezi... Wana branches zao.. Arusha ambayo ni makao makuu, Mwanza, Geita, Mara, Moshi, Karatu, Tanga, Korogwe... Soon wata fungua Dodoma na Morogoro... Sasa iko hivi ukisha pita kwenye training yao ya mwezi mzima ambayo inafanyikia Arusha... Wao ndio wana aamua waku peleke wapi na sio wewe.. hutaki una aachaa.. kwaio usi shangae unatoka Dar. Una pelekwa Mara kufunga Solar...vijijini kwa salary ya laki 4 (400,000) .... Hawatoi reallocation allowance, na wala hawa toi allowance yoyote unapo kua kwenye training... Naku shauri pia kama huna ndugu Arusha beba hela yaku tosha... Na pengine fungasha mizigo yako vizuri uki bahatika uka pita training yao ya mwezi huta rudi kwenu... Uta pewa siku 2 zaku pumzika then huyooo mkoani kuanza kazi mara 1....

Ahsante kwa taarifa.
Kwahyo baada ya training ya mwez mmoja wanaajiri walio faulu tu? au wote wanaofanya training wanawachukua?
 
Ahsante kwa taarifa.
Kwahyo baada ya training ya mwez mmoja wanaajiri walio faulu tu? au wote wanaofanya training wanawachukua?

kwa mujibu wa maelezo yake,wataajiri watakaokua wamefaulu.
 
Ahsante kwa taarifa.
Kwahyo baada ya training ya mwez mmoja wanaajiri walio faulu tu? au wote wanaofanya training wanawachukua?

Wana aajiri watakao kua wame faulu tu.... Kwaio mnaweza kuingia training watu 75 adi 80 waka chukuliwa watu 30 tu... Usipo chukuliwa uta zawadiwa cheti cha M..Power. so training ni mwezi mzima ambayo ina fanyikia Arusha makao makuu... Gharama za wewe kuji hudumia ukiwa Arusha ni juu yako. Wao wata kupa lunch na breakfast tu... Accommodation / sehemu yaku lala ni juu yako... Unapo kua kwenye training huta pewa allowance yoyote... Na training ni bure... Thamani ya ile training kama wange amua ku toza fees si chini ya laki 6 na si zaidi ya laki 8 na nusu... Training ni mwezi mzima which means kuna week 4 ...week 2 za mwanzoni wata fanya mchujo ambao uta toa nusu ya watu na zaidi wata kao kua kwenye hio training... Walio bakia wote wata enda another 2 weeks training... Ambapo kwa asilimia 99% wote huwa wana pewa ajira... Labda uzengue mwenyewe... Hizo week mbili za mwisho kwa watakao kua wame faulu wata fundishwa jinsi yaku fanya hizo kazi zao ambazo hususani ni ma swala ya solar installations na removals... Na customer care...
 
huo mchujo wamatumia vigezo gam kupunguza watu au kuna paper mnagonga?
 
huo mchujo wamatumia vigezo gam kupunguza watu au kuna paper mnagonga?

Kuna trainers ambao jukumu lao niku spot watu kwaio kupitia assignments tofauti tofauti mnazo pewa, participation yako kwenye group lako, time management yako, na hata presentation unazo fanya mbele ya watu nivi gezo tosha jamaa kuona huyu yuko vizuri huyu hapana....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom