Ila kama mmegudua kitu, kasi ya internet inasumbua sana kipindi mvua ikinyesha au kukiwa na mawingu. Kama leo hapa Dar, karibia speed za internet za mitandao yote ipo taratibu sana.
Ulishawahi kupata 3g kwako..
Hata mvua isiponyesha internet service ya tigo huwa ni mbovu sana.
mdau ww peke yako unayebisha,ila hata tigo wenyewe kule twita wanakiri kuwa intanet yao ya kichovu,Sio kweli nip dar naangalia live hd streaming football ⚽ kwa mtandao wa tigo nimejaribu voda hata ile picha mbovu haiendi hata sekunde
niko Boko,cpat zantel kwa modemKwasass Zantel anatisha.
![]()
Ni kweli. kasi ya internet yao ipo taratibu sana.
Ukiwa tegeta salasala,mnara wa tigo upo nyuma ya nyumba ila netwek inakata
Hebu nisaidie mtandao huohuo ukiwa Point A net unapata,ukiwa Point B net hupat na wakat mwingine utakuta watumish wa kampuni husika ndo walokufanyia configuration,hapo nini shida?hawa woooote wanaoilalamikia tigo wana tatizo la configuration?maana hata tigo wenyewe wanakiri kuwa net yao ina matatizo,kuna wakat wanagawa MB 5,DK 5 NA SMS kwa sababu ya shida ya net?kama ingekua configuration why wasingekua wanatuambia kuwa tatizo ni hilo?Internet haitegemei mnara uko wapi ila ni configuration za network ndiyo zinaifanya iwe na nguvu kiasi gani. Na technolojia inayotumika kati ya kifaa chako na network.
Hili nalo tatizo MankaM KAMA huduma inapatikana kwa mafungu, basi watu wa maeneo flan wangesema msinunue bundle kwakua huko net ina shidaMe naona inategemea na sehemu uliyopo kwa kweli