Internet ya Tigo ni Internet ya Hovyo kabisa hapa Duniani

Internet ya Tigo ni Internet ya Hovyo kabisa hapa Duniani

Hizo modem ni za kizamani, usitegemee kupata speed ya sasa ya zantel!.

Kwa modem hyo mkuu huwez pata speed nzur hata kidgo...tafta yeny download speed kuanzia 14Mbps au 21Mbps..
Thn u wll observ it urself...
Mkuu hizi zinapatikana wapi? Maana hii ndio nliyoizoea toka kipindi icho na nlipokua moshi ilikua iko njema kabisa, nlipofika hapa japo nipo town ila spidi yake inanishangaza!!
 
Kabla ya kuachana na mtandao wa Tigo, kuna wakati nilikuwa nanunua bundle la wiki bila kikomo ili niweze kupata live streaming za EPL, JF, magazeti na mambo mengine. Lakini nilikuwa naambulia mtandao labda siku 3/4, simu nyingine haupatikani mpaka wiki inakwisha.
Wajirekebishe kwa kweli
 
Mkuu mimi nipo moshi ila kwa muda mrefu sasa nimeshindwa kuituimia. Kwanza nilidhani labda wamesitisha kutoa huduma ya internet ati! Hapa 3G ipo na network ipo strong kabisa..naishi kama mita 500 hivi kutoka kwanye mnara wao lakini service ni hovyo kabisa.

Kifupi tigo ni shidaaa..
Upo Moshi Sehemu gani plz ni pm nikusaidie number yako
 
Kumbeee!!! ila kuhusu internet inategemea na sehemu mm hapa nilipo tigo ndo baba lao kwa speed ya internet hakuna voda,airtell wala zantel. Ila ukienda sehemu nyengine hiyo tigo yawa ovyo voo!! ila kuhusu hilo la wezi kuna ka ukweli kuna ile tigo ya usiku gb 30 ile pale wanatupiga changa la macho ukijiunga tu mtandao uko slow kwa internet ila ikifika km alfajiri ndo wanaongeza speed aisee mjini shule.

Ww kuwa km mm kuwa km tapeli kuwa nalaini zote kwisha habari ukizungua huu badilisha weka mwengine
 
Upo Moshi Sehemu gani plz ni pm nikusaidie number yako

Unisaidie namba yangu?!
Kwani tatizo lipo kwenye namba yangu?Mbona ninazo namb. 2 za tigo but zote zinasumbua?
Hebu fafanua kidogo mkuu..
 
Kiukweli tigo ni shida jamani.
Juzi tu niliwasifia wamerudi hewani,hata haijapita wiki moja,tatizo limejirudia kama mwanzo.

Kwa sasa nimeamua kutumia fokoda..angalau speed yao inaonekana haina variation kubwa sana.
 
cdhan kama kuna ukwel ktka hilo,,,zantel ni kampun kongwe kwa sas.

Mkuu naomba unijuze,kwa Arusha mjini zantel inafanya vizuri? Maana wengine wanadai zantel iko vizuri dsm tuu na zanzibar.
 
Labda modern yako ina shida watu tunafutahia tigi mwanzo mwisho aisee...full kudownload kijana
 
Mkuu naomba unijuze,kwa Arusha mjini zantel inafanya vizuri? Maana wengine wanadai zantel iko vizuri dsm tuu na zanzibar.
Mi naish dar mkuu,,,ila nakushaur utafut modem yeny download spd kuanzia 14Mbps na kuendlea,,
 
Unisaidie namba yangu?!
Kwani tatizo lipo kwenye namba yangu?Mbona ninazo namb. 2 za tigo but zote zinasumbua?
Hebu fafanua kidogo mkuu..
nataka kuongea na ww uniambie eneo gani unapata tatizo hilo
 
Tena usiombe ikafika SAA 2-5 usiku utaomba uitupe Simu
..,,in hovyo mno
 
Back
Top Bottom