Internet ya Tigo ni Internet ya Hovyo kabisa hapa Duniani

Internet ya Tigo ni Internet ya Hovyo kabisa hapa Duniani

Ewaaah..naona wamerudi tena hewani.Nimejaribu muda huu,speed iko vizuri kama mwanzo.Juzi nilipita pale ofisini kwao wakaniambia wanalifahamu tatizo hilo na wanalishughulikia.Mimi nipo Moshi maeneo ya KCMC
 
eatel mpango mzima

Hapa nilipo inafluctuate sana bila kujali hiyo wanayoita 3.75G..si ya kutegemea..iko kama homa ya vipindi.
Muda fulani inakuwa fasta ila muda mwingine..hata sitaki kusema.
 
wakipoteza wateja ndo watajifunza,,,
hamieni zantel jaman....{{ni maon yang 2 wala cwapigii debe zantel.}}

Niko eneo la town kabisa mbona zantel nao naona spidi yao iko chini?
 
Hawa jamaa kama ni wizi basi wamekubuhu. wana vifurushi vyao ambavyo unaweza jiunga halaf kikaja kuisha hata hujakitumia. mimi binafsi nikicheck salio kwenye line yangu nina 1.8 GB lakini speed ya internet ya Tigo ni kama ya Kinyonga wakati dunia hii tunataka mtandao wenye speed ya Angalau hata paka kama Duma haiwezekani.View attachment 217740
Wadau hili jambo linasikitisha sana. maana huu wizi wa mchana kweupe.
Upo moshi maeneo gani tuwasiliane
 
ninacho jua hata mimivnilipata tatizo hilo nikawauliza wakasema eti ukiwa na bando sharti uwe pia na salio si china ya 150 ndio bando yako itumike vizuri

Mmmhhhh sio kweli mbona mimi nina sh 95 lakin napata fresh tu
 
Back
Top Bottom