Internet ya Tigo ni Internet ya Hovyo kabisa hapa Duniani

Internet ya Tigo ni Internet ya Hovyo kabisa hapa Duniani

kama tukiamua wadau wote kushirikiana kuwagomea tigo nadhan watajirekebisha rite now wanajidai wanajua wadau weng wapo tigo na ndo maana wanafanya uhuni kama huu
 
Mimi niko Dar Mtaa wa Sikukuu/Amani hamna hata network ya kuongea hela zangu zinaliwa tu bure na hawa jamaa. Nimeenda hadi offisini kwao pale Msimbazi Jirani na Kituo Polisi Msimbazi mwaka jana wakadai kua tatizo linajulikana na linashughulikiwa ! Hadi leo tatizo linaongezeka.
Itabidi nibadili namba kwa mara nyingine maana Awali nilikua natumia air tell ikasumbua mno nikabadili nikaweka Zantell kwa hapa kariakoo inafanya vzr ila siku niliposafiri kwenda nyumbani Mtibwa kukawa hakuna network ndiyo nikaingia Tigo ambalo ni TATIZO hata presha yangu Hua inapanda kutokana na TIGO wanavyonitesa.
Ingependeza mamlaka ya mawasiliano ikaangalia hii hali kama ni Haki tunavyoteseka. Nadhani mh. Makamba anapitaga huku pia.
 
Ila kama mmegudua kitu, kasi ya internet inasumbua sana kipindi mvua ikinyesha au kukiwa na mawingu. Kama leo hapa Dar, karibia speed za internet za mitandao yote ipo taratibu sana.
 
Hao jamaa Tigo karibu wiki ya pili sasa hamna kitu. Zantel naona wapo vizuri
c36aa2f79c65ec8f1e45f8ca67ea79a6.jpg

na vipi kuhusu speed ya internet yao? maana bei naona si mbaya.nataka nijaribu but at least nijue kuhusu speed ya mtandao wao.
Kwa eneo nilipo speed yake nzuri saana.
8f8794bc508176330a804b09ccda3ec7.jpg

Angalia juu kushoto hiyo ndio speed inafika 1mb/ps
 
mm binafs nlkua mteja mzur xana wa tigo,,,ila kwa xax nimeamua kuipga chini.
zantel ndo habar ya mjini kwa xaxa,,,.
ukijiung vifurush vya zantel hutojutia hela yako,.,
tigo imebaki hewan kama ushahd 2,,hata vifurush vya msg na dakika cjiungi,.,.,

Zantel mwisho wa mitandao yote inayotumia Internet...ila napata mashaka kuskia wameuziwa Voda iyo kampuni maana itakua ovyo ovyo hapo baadae!!!
 
Zantel mwisho wa mitandao yote inayotumia Internet...ila napata mashaka kuskia wameuziwa Voda iyo kampuni maana itakua ovyo ovyo hapo baadae!!!

cdhan kama kuna ukwel ktka hilo,,,zantel ni kampun kongwe kwa sas.
 
Ila kama mmegudua kitu, kasi ya internet inasumbua sana kipindi mvua ikinyesha au kukiwa na mawingu. Kama leo hapa Dar, karibia speed za internet za mitandao yote ipo taratibu sana.

Mkuu mimi niko Moshi maeneo ya kcmc,huku msimu wa mvua mwaka huu bado..ni kweupe kabisaa,lakini huu ni mwezi wa pili sasa wanasumbua sana..lazima hapa kuna tatizo kubwa,sio mawingu tu.
 
Hivi hawa zantel ni lazima nitumie modem yao tu ndiyo nipate hiyo speed kubwa,au ninaweza kununua line tu halaf nikatumia kwenye hii modem yangu nikapata max speed?
 
Mkuu mimi niko Moshi maeneo ya kcmc,huku msimu wa mvua mwaka huu bado..ni kweupe kabisaa,lakini huu ni mwezi wa pili sasa wanasumbua sana..lazima hapa kuna tatizo kubwa,sio mawingu tu.

Ni kweli pia wengi wanalalamika sana kuhusu kasi ya internet. Litakuwa ni tatizo ambalo hata wao wanalifahamu lakini ni waapuzaji kwa kuwa wao kwenye ofisi zao hawapatwi na hizi hadha.
 
Naunga mkono hoja mkuu network ya tigo ni kichefuchefu kwakweli inaboa naitumia kwa mazoea tu kwakua watu wangu wengi wapo tigo
 
Nina shangaa bundle inapoisha bila kuitumia.Hawa hawana tofauti na akina chenge.
 
tigo maeneo tuh mliopo mbona mi hapa kariakoo,na ofc msasani inakamata bila tatizo nina 5gb naenjoy tuh
 
80% ya phonebook yangu ni tigo. Kuhama shida.
 
hawa jamaa kama ni wizi basi wamekubuhu. Wana vifurushi vyao ambavyo unaweza jiunga halaf kikaja kuisha hata hujakitumia. Mimi binafsi nikicheck salio kwenye line yangu nina 1.8 gb lakini speed ya internet ya tigo ni kama ya kinyonga wakati dunia hii tunataka mtandao wenye speed ya angalau hata paka kama duma haiwezekani.View attachment 217740
wadau hili jambo linasikitisha sana. Maana huu wizi wa mchana kweupe.

tigo mafala sana
 
Hawa watu wanakera sana na wanalijua hilo tatizo lakini hawalitafutii ufumbuzi.
Tigo ndo mtandao wenye huduma mbovu kabisa za internet wanajifanya kutoa ofa kuuuubbwwaaa za mabundle wakati huduma ya internet haipo.
 
Hao jamaa Tigo karibu wiki ya pili sasa hamna kitu. Zantel naona wapo vizuri
c36aa2f79c65ec8f1e45f8ca67ea79a6.jpg

na vipi kuhusu speed ya internet yao? maana bei naona si mbaya.nataka nijaribu but at least nijue kuhusu speed ya mtandao wao.

Mara nyingi internet service haipatikani na ikipatikana basi ipo slow.Ukiwa tigo u will never enjoy internet service.Kaa mbali na huu mtandao kwa usalama wako mi nilishahama zamani sana.

Back
Top Bottom