Internet ya Tigo ni Internet ya Hovyo kabisa hapa Duniani

Internet ya Tigo ni Internet ya Hovyo kabisa hapa Duniani

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Hawa jamaa kama ni wizi basi wamekubuhu. wana vifurushi vyao ambavyo unaweza jiunga halaf kikaja kuisha hata hujakitumia. mimi binafsi nikicheck salio kwenye line yangu nina 1.8 GB lakini speed ya internet ya Tigo ni kama ya Kinyonga wakati dunia hii tunataka mtandao wenye speed ya Angalau hata paka kama Duma haiwezekani. Capture_1.JPEG
Wadau hili jambo linasikitisha sana. maana huu wizi wa mchana kweupe.
 
Mkuu mimi nipo moshi ila kwa muda mrefu sasa nimeshindwa kuituimia. Kwanza nilidhani labda wamesitisha kutoa huduma ya internet ati! Hapa 3G ipo na network ipo strong kabisa..naishi kama mita 500 hivi kutoka kwanye mnara wao lakini service ni hovyo kabisa.

Kifupi tigo ni shidaaa..
 
hata niki disconnect na ku connect mara 1000 mtandao wao ni hovyo kabisa. hapa napata 3G inasoma but ukija kwenye speed yao ni hii hii kimeo tu. siku zote ni hivi na hapa ni dar mjini tu si mbali sana na mnara ulipo ni kma mita 800 tu. lakini mbal na hilo kila sehemu nayokuwa dar tigo ni majanga tu
 
Wakati mm niliko kuna 3G ya maana kuyoka tiGO
 
Hao jamaa Tigo karibu wiki ya pili sasa hamna kitu. Zantel naona wapo vizuri
c36aa2f79c65ec8f1e45f8ca67ea79a6.jpg


Hata hizi bundle zao naona kuna unafuu kidogo.
 
mm binafs nlkua mteja mzur xana wa tigo,,,ila kwa xax nimeamua kuipga chini.
zantel ndo habar ya mjini kwa xaxa,,,.
ukijiung vifurush vya zantel hutojutia hela yako,.,
tigo imebaki hewan kama ushahd 2,,hata vifurush vya msg na dakika cjiungi,.,.,
 
Je,speed yake ikoje huko uliko mkuu?
Maana mimi hapa nilipo nina 3G lakini ni hovyo kabisa.

bora ya ww ni 3G,,,nlipo mm ni H+ kabxa,,,ila hata kudownload picha whatsap ni shidah,.,
 
Mie nataman Ni hame tigo Ila Watu wengi ktk numbers zangu wapo tigo....Internet yao Mjanga kweli
 
Tigo ni wa hovyo hovyo. Kwenye suala la Network bado nyuma sana. Hata kwenye kupiga cmu ni lazima uludie mara mbilimbili.
 
Hao jamaa Tigo karibu wiki ya pili sasa hamna kitu. Zantel naona wapo vizuri
c36aa2f79c65ec8f1e45f8ca67ea79a6.jpg




na vipi kuhusu speed ya internet yao? maana bei naona si mbaya.nataka nijaribu but at least nijue kuhusu speed ya mtandao wao.
 
wakipoteza wateja ndo watajifunza,,,
hamieni zantel jaman....{{ni maon yang 2 wala cwapigii debe zantel.}}
 
Back
Top Bottom