Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Nchini marekani mtu mwenye Tabia za Extrovert hawezi kuajiriwa FBI hata kama amepass IQ test,bali mtu mwenye Tabia ya Introvert na kupass IQ test ndiye huwa anaajiriwa.Akishaajiriwa kitu cha kwanza kinachofanyika ni kuboresha hisia za TELEPATHY pia huanza kusoma facial expression na namna ya kutenda mambo kwakutumia critical thinking.Yani kila jambo utakaloliona au kila swali utakaloulizwa lazima ujuwe asili yake.
 
Ifahamike kuwa spy(Jasusi)Hafanyi kazi ndani ya nchi yake,bali hufanya kazi nje ya nchi yake ktk nyanja mbalimbali kama vile uchumi,usalama na ulinzi nk.kwa manufaa ya nchi yake.
 
Hivi yule dada alikuwaga na rasta zisizo na afya kama usalama wa taifa kwenye msafara wa mkuu yupo wapi siku hizi. Tujuzane.
 
Nenda ukaulize watu wanaokaa karibu na makazi ya hao Tiss ndio utajua jinsi walivyo na vurugu. Kuanzia uendeshaji wao magari mpaka kuongea kwao. Afadhali wanajeshi, hawa wengine wana vurugu sana.
Marekani miaka ya nyuma walijaribu kuajiri watu wachache waliopass IQ test lakini wenye Tabia ya Extrovert.Matokeo yake ni kujitangazia kwa watu kuwa wao wanafanya kazi ktk idara nyeti na uvujishaji wa siri.Toka hapo hawajafanya tena upumbavu huo hadi hivi sasa.
 
Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
Kwenye maelezo umeona kuna mahali anaongelea fomu?
 
Mbona tunasikia kuna kitengo ndani ya TISS kinaitwa Presidential Security unit PSU? Wanajeshi wanamlinda Rais???? je command inatokea wapi?
Duniani kote haizuwii mtu akiwa mwanajeshi basi asiwe usalama wa taifa,au mtu akiwa kinyozi basi asiwe usalama wa taifa,hapana,mambo hayaendi hivyo.Ila tu kuna baadhi ya nchi zilishawahi kuchukuwa walinzi wa rais kutoka ktk nchi nyingine kwa hofu ya kutowaamini wazawa.Lakini Matokeo yake baadae yalikuja kuwa mabaya sana kwa nchi husika hasa kiuchumi na kiusalama.
 
MKUU KUHUSU PSU BADO SIJAFAHAMU WANAFANYAJE KAZI UPANDE WA PILI NA AMRI NI NANI ANAYETOA.

ILA NINACHOJUA NDANI YA KIKOSI MAALUMU KIPO CHINI OFISI YA RAISI LAKINI WALE WANAOMLINDA RAISI NI ASKARI TOKA JESHINI.

NA NDIO KILE KIKOSI KINACHOMTII RAISI
kwani kuna kikosi kisichomtii rais?
Nachojua mimi ni kwamba kuna kikosi maalumu cha jeshi kinachopokea maelekezo moja kwa moja kutoka kwa rais bila kupitia Mkuu wa majeshi, hivi huwa ni vikosi vya Siri na wanajeshi wake wengi ni makomandoo nadhani Hawa ndo wanamlinda rais, lakini tena wanakuwa na mafunzo mengine maalumu ya kulinda viongozi wakubwa.
 
suala lako zuri sana
Marekani kuna kitengo FBI hichi kina fanya kazi na maslahi ya ndani ya nchi hakichukuai amri kutoka serikalini au kwa Raisi

Hawa ndio walomtoa Richard Nixon

CIA ni uslama wa taifa kwa nchi zanje na kipo na Raisi wa nchi

Kwann walimtoa Richard Nixon
 
Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:

  • Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
  • Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
  • Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
  • Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
  • Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara
Kumekuwa na tabia hapa nchini ya watu kuhusisha upuuzi wa kisiasa na maswala ya Jinai kama vile tukio la kushambuliwa kwa mheshimiwa LISU na watu wa Usalama.Sisemi kwamba sio wao ila kama ni wao nafikiri that was too low of them.

Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?

Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI
Msaaada....ni hivi Idara za usalama inaviumbe wa aina zote na wenye tabia zote
Tena wapo waongeaji kama chetrhani ...hawa ni wachokoza mada.

Kuna wanaofanya fujo
Kna wagomvi wengi sana
Kna wapenda sifa sana

Kwa kifupi....hizi idara zina mengi na wengi
 
KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
Ubarikiwe wewe....umeeleza vizuri natamani hii ingekuwa kama ref..ya maswalo yote yahusuyo hyo idara ya Usalama...mana watu ni washamba sana.

Umemaliza kila kitu.
Umeweka wazi kila kitu
 
Nchini marekani mtu mwenye Tabia za Extrovert hawezi kuajiriwa FBI hata kama amepass IQ test,bali mtu mwenye Tabia ya Introvert na kupass IQ test ndiye huwa anaajiriwa.Akishaajiriwa kitu cha kwanza kinachofanyika ni kuboresha hisia za TELEPATHY pia huanza kusoma facial expression na namna ya kutenda mambo kwakutumia critical thinking.Yani kila jambo utakaloliona au kila swali utakaloulizwa lazima ujuwe asili yake.
Extrovert na introvert ni watu wa aina gani?
 
Nenda ukaulize watu wanaokaa karibu na makazi ya hao Tiss ndio utajua jinsi walivyo na vurugu. Kuanzia uendeshaji wao magari mpaka kuongea kwao. Afadhali wanajeshi, hawa wengine wana vurugu sana.
Nadhani inategemeana na aina ya info unayoihitaji na aina ya watu ambako info unayoihitaji iko. Huwezi kwenda kutafuta info kwa walevi ukae kama baba paroko parokiani utaacha alama.
 
Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
ndio maana baadae watu wanakaguliwa vyeti,unashindwaje kutofautisha aisee,kha.
 
KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
[emoji106][emoji109]
 
Back
Top Bottom