makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,365
- 3,657
HujaitwaUpuuzi mwingine.sisi tuna mambo yetu ya ndani ya nchi ya kuleta maendeleo wewe unatuletea mambo ya marehemu.
HujaitwaUpuuzi mwingine.sisi tuna mambo yetu ya ndani ya nchi ya kuleta maendeleo wewe unatuletea mambo ya marehemu.
ni kweli mkuu ni sawa na kundi la watu kisha mbweha mmoja yupo kati yao,Inaonekana mnafanana hata kwa mawazo.
20/7/1973.Bruce lee alikufa mwaka gani kwani
Lee Jun-fan au Bruce Lee alizaliwa tarehe 27 November 1940 na kufariki tarehe 20 July 1973 mjini Hong Kong.Bruce lee alikufa mwaka gani kwani
AhsanteeeLee Jun-fan au Bruce Lee alizaliwa tarehe 27 November 1940 na kufariki tarehe 20 July 1973 mjini Hong Kong.
Salute Comrades:
Wakuu leo naomba tujadidili juu ya kifo cha muigizaji BRUCE LEE.
Hivi ni kweli alikufa kifo cha kawaida..?
Alikufaje? Sababu ya kufariki ni nini..?
Kwa story nazo zifahamu juu ya kifo chake (Sijui kama ni sahihi) eti chanzo cha kifo walikua CIA kwa kumtumia Mkewe!
Je hii hoja ni kweli? Alikua na masrahi yapi kwa CIA..?
Lakini pia Mwanae Brandon Lee inasemekana Kua Alienda Hongkong kupeleleza kifo cha baba ake akarudi NA ushahidi akasubiri acheze picha iliyokua imeandaliwa, Lakini hata hivo picha hakuimaliza alikufa akiigiza hiyo picha kwa risasi akafa na siri za kifo cha baba yake.
Ikumbukwe.
-Bruce lee ni mtu pekee aliyekua anaweze kupiga kalatasi inayoninginia ngumi ikatoboka [Sio kuchanika ]
-Alikua na uwezo wa kupiga pushap 100 kwa kutumia kidole kimoja cha shahada.
-Alikua na uwezo wa kurusha punje ya mchele angani akaidaka kwa kijiti.
-Alikua yupo faster sana hadi kwenye kuigiza wakawa wanamuweka in Slow motion ili mapigo yaonekane vizuri. Etc
Tiririkeni wakuu..
Cc.
Malcom Lumumba mngony The bold MSEZA MKULU izzo Slowly mshana jr zitto junior Infantry Soldier @Consigilere GuDume elmagnifico
Aksanteni.
-Da'Vinci Learning
Kaaa kimyaHahaha ungetafuta file la medical examiner aliyeufanyia mwili wake postmortem tujue walisema nini baada ya kuchunguza mwili wa marehemu, hadithi hizi mwisho mtasema alirogwa.
Unazeeka vibaya.Upuuzi mwingine.sisi tuna mambo yetu ya ndani ya nchi ya kuleta maendeleo wewe unatuletea mambo ya marehemu.
Madhara. Tamka Ra ra ra ra ra mara mia mia.Pia alikuwa anavuta Bhangi, haya semeni bangi ina madhala.
Ana madhala mtumiaji wa bangi ila sio bangi.
Unazeeka vibaya moja unazeeka vibaya mbil unaz.... 3 ...Dada yangu wee,mwendawazimu ni yule anayeanzisha thread ambazo hazimsaidii mtanzania kwa lolote.Kuna maswala mengi katika nchi kwa sasa siyo ujinga kama huu.
Hahaha ongea usikikeKaaa kimya
Aiseee.... Yaani na wewe unaweza kuandika vitu vya kitoto hivi? Anarusha punje ya mchele anadaka kwa kijiti?push ups 100 kwa kidole?nyie form four mnapokaa nyumban mnaanza kuwaja ujinga ujinga halafu mnataka wote tuwe na akili kama zenu.nenda hata kasome english
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we jamaa unajifanya upo smart „nmeikumbuka ile style yako ya panga boy sina mbavu hapaAiseee.... Yaani na wewe unaweza kuandika vitu vya kitoto hivi? Anarusha punje ya mchele anadaka kwa kijiti?push ups 100 kwa kidole?nyie form four mnapokaa nyumban mnaanza kuwaja ujinga ujinga halafu mnataka wote tuwe na akili kama zenu.nenda hata kasome english
aisee,kumbe ile miaka yetu ya 90 wakati sinema zake ndo zinatamba huyu jamaa walishamzika tayari?Lee Jun-fan au Bruce Lee alizaliwa tarehe 27 November 1940 na kufariki tarehe 20 July 1973 mjini Hong Kong.
Bruce Lee alikufa kifo cha kawaida hakuna utata wowote ule (Utata unatengenezwa na watu)
1.Miezi ya mwisho mwisho kabla ya kufariki, afya ya Bruce Lee haikuwa nzuri. Alikuwa akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa na mgongo. Kumbuka miezi miwili kabla ya kifo chake alipoteza fahamu akiwa mazoezini, alipata matibabu na kupata nafuu.
2Bruce alijikuta akitumia madawa makali ya kutuliza maumivu kwa mda mrefu (bila kufata taratibu za kitabibu). Hii ni kutokana na Kusumbuliwa na maumivu mazito ya mwili hasa kichwa na mgongo.
3Kuna wakati ilibidi atumie mitishamba kutuliza maumivu.
4.Siku ya kifo chake akiwa nyumbani kwa mcheza sinema wa kike aitwaye Betty, wakijadili script ya filamu ya Game of death ,alipatwa na maumivu makali ya kichwa.
Mwanadada Betty ilibidi ampatie dawa ya maumivu jamii ya aspirin, na Bruce lee akaomba apumzike kwenye kitanda apoapo nyumban kwa bety. Alivyoenda kuamshwa kwa ajili ya chakula Bruce Lee hakuamka tena adi Leo hii.
5Postmortem ilifanyika na kuonyesha ubongo ulikuwa umevimba sana, wakihusisha allergic reaction iliyosababishwa na dawa aliyomeza.
6Mwana dada Betty ambaye kipindi hicho alikuwa na Miaka 22,,hamekuwa hakikana siku zote kuhusika na kifo change Bruce Lee.Ile dawa aliyompa Bruce Lee ata yeye alikuwa akiitumia.
Mengineyo kuhusu Bruce Lee..
1.Alifia Hongkong akiwa na umri wa miaka 32, ila alizikwa Marekani
2Alikuwa mwana philosophy mzuri,kumbuka msemo wake maarufu my friend be like water, water can flow, water can crash.
3Bruce Lee alitokea familia ya kitajiri uko Hong Kong.
4.Wacheza sinema waliokuwa karibu naye miaka hiyo(Bolo yeung, Chuck Norris, marehemu Jim Kelly) wanathibitisha speed ya Bruce Lee ilikuwa kama ya mnyama duma.
5 Kwenye mazoezi/maandalizi ya inter the dragon (kama sijakosea) Jack chain akiwa underground aliumizwa kwa bahati mbaya na Bruce Lee, wakati wa kutoka mazoezi Bruce Lee alimwona Jack chain akienda nyumbani kwa miguu alimwita akampatia fedha ya tax. Hili tukio Jack chain analisimulia adi Leo hii.