alifia marekani na chanzo cha kifo kama kina ukweli kama mtoa mada anavyosema unafikiri kwa document wa uchunguzi wa madaktari utapata kitu apo. ila kwa kifupi ninavyojua alikua akiishi marekani na siku chache kabla hajafariki alikua akitengeneza movie na mdada movie star wa marekani, siku ya tukio aliamka nyumbani kwake lakini alikua hajisiki vizuri (alikua anaumwa) akaenda nyumbani kwa uyo mwanamke baada ya kumuelezea hali yake uyo mama akampa dawa, baada ya apo akamwambia akapumzike na ndio ilikua mwisho wa uhai wake. " NI MAELEZO YA UYO MWANAMKE BAADA YA KUHOJIWA"Hahaha ungetafuta file la medical examiner aliyeufanyia mwili wake postmortem tujue walisema nini baada ya kuchunguza mwili wa marehemu, hadithi hizi mwisho mtasema alirogwa.
Hahaha nilitoa tahadhari tupewe scientific and professional report yani postmortem report, huku kwetu hukawii kusikia report za manyaunyau.alifia marekani na chanzo cha kifo kama kina ukweli kama mtoa mada anavyosema unafikiri kwa document wa uchunguzi wa madaktari utapata kitu apo. ila kwa kifupi ninavyojua alikua akiishi marekani na siku chache kabla hajafariki alikua akitengeneza movie na mdada movie star wa marekani, siku ya tukio aliamka nyumbani kwake lakini alikua hajisiki vizuri (alikua anaumwa) akaenda nyumbani kwa uyo mwanamke baada ya kumuelezea hali yake uyo mama akampa dawa, baada ya apo akamwambia akapumzike na ndio ilikua mwisho wa uhai wake. " NI MAELEZO YA UYO MWANAMKE BAADA YA KUHOJIWA"
unachosha bana! mwenzako alisha sema haya! mfyuuuuxuxuxuxu!alifia marekani na chanzo cha kifo kama kina ukweli kama mtoa mada anavyosema unafikiri kwa document wa uchunguzi wa madaktari utapata kitu apo. ila kwa kifupi ninavyojua alikua akiishi marekani na siku chache kabla hajafariki alikua akitengeneza movie na mdada movie star wa marekani, siku ya tukio aliamka nyumbani kwake lakini alikua hajisiki vizuri (alikua anaumwa) akaenda nyumbani kwa uyo mwanamke baada ya kumuelezea hali yake uyo mama akampa dawa, baada ya apo akamwambia akapumzike na ndio ilikua mwisho wa uhai wake. " NI MAELEZO YA UYO MWANAMKE BAADA YA KUHOJIWA"
nakushukuru kwa kusoma nilichokiandika.unachosha bana! mwenzako alisha sema haya! mfyuuuuxuxuxuxu!
Bruce Lee alikufa kifo cha kawaida hakuna utata wowote ule (Utata unatengenezwa na watu)
1.Miezi ya mwisho mwisho kabla ya kufariki, afya ya Bruce Lee haikuwa nzuri. Alikuwa akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa na mgongo. Kumbuka miezi miwili kabla ya kifo chake alipoteza fahamu akiwa mazoezini, alipata matibabu na kupata nafuu.
2.Bruce alijikuta akitumia madawa makali ya kutuliza maumivu kwa mda mrefu (bila kufata taratibu za kitabibu). Hii ni kutokana na Kusumbuliwa na maumivu mazito ya mwili hasa kichwa na mgongo.
3Kuna wakati ilibidi atumie mitishamba kutuliza maumivu.
4.Siku ya kifo chake akiwa nyumbani kwa mcheza sinema wa kike aitwaye Betty Ting Pei, wakijadili script ya filamu ya Game of death ,alipatwa na maumivu makali ya kichwa.
Mwanadada Betty Ting Pei ilibidi ampatie dawa ya maumivu jamii ya aspirin, na Bruce lee akaomba apumzike kwenye kitanda apoapo nyumban kwa bety. Alivyoenda kuamshwa kwa ajili ya chakula Bruce Lee hakuamka tena adi Leo hii.
5. Postmortem ilifanyika na kuonyesha ubongo ulikuwa umevimba sana, wakihusisha allergic reaction iliyosababishwa na dawa aliyomeza.
6. Mwana dada Betty ambaye kipindi hicho alikuwa na Miaka 25,hamekuwa hakikana siku zote kuhusika na kifo change Bruce Lee.Ile dawa aliyompa Bruce Lee ata yeye alikuwa akiitumia.
Mengineyo kuhusu Bruce Lee.
1.Alifia Hongkong akiwa na umri wa miaka 32, ila alizikwa Marekani
2. Alikuwa mwana philosophy mzuri,kumbuka msemo wake maarufu "my friend be like water, water can flow, water can crash".
3.Bruce Lee alitokea familia ya kitajiri uko Hong Kong.
4.Wacheza sinema waliokuwa karibu naye miaka hiyo(Bolo yeung, Chuck Norris, marehemu Jim Kelly) wanathibitisha speed ya Bruce Lee ilikuwa kama ya mnyama duma.
5. Kwenye mazoezi/maandalizi ya inter the dragon (kama sijakosea) Jack chain akiwa underground aliumizwa kwa bahati mbaya na Bruce Lee, wakati wa kutoka mazoezi Bruce Lee alimwona Jack chain akienda nyumbani kwa miguu alimwita akampatia fedha ya tax. Hili tukio Jack chain analisimulia adi leo hii.
Wewe ndio mpuuzi....umepuuzia habari hii...jifunze kuhusu "Acquired Knowledge"Upuuzi mwingine.sisi tuna mambo yetu ya ndani ya nchi ya kuleta maendeleo wewe unatuletea mambo ya marehemu.