Inside Considence: Utata juu ya kifo cha muigizaji Bruce Lee..

labda niseme kitu wakati nipo hong kong nikiuzulia kozi yangu ya utayarishaji wa filamu....nilikutana na mchina mmoja hivi ambaye ndiye alikuwa mwenyeji wetu bwana ling jing...kipindi chote cha kozi....siku mmoja tukiwa matembezini nikakutana na sanamu kubwa sana ya bruce lee basi....mazungumzo ya bruce lee yakaanza na mmoja ya swali langu nilimuuliza"hivi ni kweli brue aliuwawa ?basi jamaa aliniambia ni kweli bruce lee aliuwawa nikaendelea na nani basi akaanza kunisimulia haya...inasemekana bwana bruce lee akiwa mdogo alienda kutembea na familia yake huko kwenye kijini alikotoka baba yake na wakiwa huko katika siku zile za mapumziko bruce lee alitokewa kupendwa na mzee wa kichina ambaye ni mkufunzi aliyebobea(master) wa michezo ya mapigano(kung fu)ya asili yaani nazungumzia kung fu ya ndani kama umeona tai chi utakuwa unaelewa namaanisha nini...basi mzee huyo alijenga urafiki mkubwa sana na bruce lee mpaka kupelekea bruce lee kumtembelea mara kwa mara mzee huyo ambaye inasemekana ndiye aliyesaidia bruce lee kuwa bruce lee huyu tunayemjua mimi na wewe...basi inasemakana mzee huyo kwa mapenzi aliyonayo kwbruce lee aliamua kumpa siri kubwa na mafunzo ya siri kwa bruce kabla mzee huyo kufariki...baada ya mzee huyo kufariki bruce alianza kuwastua baraza la wazee wa mchezo hua wa mapigano wa jadi kwa kuanza kufanya vitu vya siri yaani staili za ndani ambazo kikawaida hata iweje huwezi kufundIshwa na mbaya zaidi bruce akaanza kuvionyesha vitu hivyo kwenye filamu na ikumbukwe bruce ndo mchina wa kwanza kupeleka mchezo huo marekani kwenye filamu basi wazee walikasirishwa sana na mara mmoja alitumiwa wito wa kumtaka aje ajieleze mbele ya wazee hao ni nani amempa mafunzo hayo na ni kwanini anayaonyesha kwenye filamu bwana mkubwa bruce alikaidi kwenda na buku akiendelea na mazoezi yake hayo basi hatua hiyo iliwauzi sana wazee hao wa jadi na kuamua kumtafutia dawa na ndipo walipoamua kwa kauli mmoja kumzibiti kabla hali haijawa mbaya sana kwa taaruma hiyo ya jadi kwenda kwa wazungu basi waakaamua kumtrain mtu mmoja tu na alipowiva akaambiwa aenda san fransisco marekani kqwnye dojo la bwana bruce na aombe sparing na mtu huyo alikuwameshaelekezwa wapi kwa kupiga na wazee hao na akifanikiwa kupiga alikoelekezwa ampe ushindi bruce aombe kuondoka basi siku ya siku iliwadia bwana bruce akiwa dojo na wanafunzi wake akaingia mgeni asiyetarajiwa na kuomba sparing na bwana bruce alikuwa hapendi kuonyesha uoga hivyo alimkubaria mtu huyo na bwana bruce akafanikiwa kushinda sparing zote tatu walizopigana wakati huo yule mgeni asiyetarijiwa pamoja na kupigwa alikuwa ameshagusa(kupiga) sehemu aliyoelekezwa na wazee basi mgeni huyo aliaga na kutoweka basi usiku huo bruce alipata maumivu makubwa sana ambayo hayaelezeki alishinda siku ya kwanza ndo akaelekea kwenye mazoezi ya filamu yao mpya akiwa huko hali ilikuwa mbaya na bruce aliomba dawa na akaomba alale na hakuamka tena haya ndio ninayoyajua kwa mujibu wa msimuliaji....
 
Da'Vinci ameonesha ukomavu mkubwa ambao si vema nikaupuuzia. I tried to tease him up there but amejibu kwa utulivu sana. Kumbe JF BILA MATUSI inawekana.i wish ngekuwa na muda nielezee kwa kina what happened kuhusiana na kifo cha bluce lee na baadaye brandon lee. Lakini nina majukumu ya kujenga taifa hapa natumia muda huu kipindi cha matangazo ....baada ya dk chache narud tena kwenye game mpaka mida ya wanga. Nitarudi nikimaliza kupiga show....
duuh kama vp waalike wadau wakusaidie
 
Salute Comrades:

Wakuu leo naomba tujadidili juu ya kifo cha muigizaji BRUCE LEE.
Hivi ni kweli alikufa kifo cha kawaida..?
Alikufaje? Sababu ya kufariki ni nini..?

Kwa story nazo zifahamu juu ya kifo chake (Sijui kama ni sahihi) eti chanzo cha kifo walikua CIA kwa kumtumia Mkewe!
Je hii hoja ni kweli? Alikua na masrahi yapi kwa CIA..?

Lakini pia Mwanae Brandon Lee inasemekana Kua Alienda Hongkong kupeleleza kifo cha baba ake akarudi NA ushahidi akasubiri acheze picha iliyokua imeandaliwa, Lakini hata hivo picha hakuimaliza alikufa akiigiza hiyo picha kwa risasi akafa na siri za kifo cha baba yake.

Ikumbukwe.
-Bruce lee ni mtu pekee aliyekua anaweze kupiga kalatasi inayoninginia ngumi ikatoboka [Sio kuchanika ]

-Alikua na uwezo wa kupiga pushap 100 kwa kutumia kidole kimoja cha shahada.

-Alikua na uwezo wa kurusha punje ya mchele angani akaidaka kwa kijiti.

-Alikua yupo faster sana hadi kwenye kuigiza wakawa wanamuweka in Slow motion ili mapigo yaonekane vizuri. Etc

Tiririkeni wakuu..
Cc.
Malcom Lumumba mngony The bold MSEZA MKULU izzo Slowly mshana jr zitto junior Infantry Soldier @Consigilere GuDume elmagnifico

Aksanteni.

-Da'Vinci Learning
Alimfikia mkali wa totoz Rhinadhino Gaucho? Maana jamaa alikuwa anapiga chenga uwanjani...na kitandani
 
Salute Comrades:

Wakuu leo naomba tujadidili juu ya kifo cha muigizaji BRUCE LEE.
Hivi ni kweli alikufa kifo cha kawaida..?
Alikufaje? Sababu ya kufariki ni nini..?

Kwa story nazo zifahamu juu ya kifo chake (Sijui kama ni sahihi) eti chanzo cha kifo walikua CIA kwa kumtumia Mkewe!
Je hii hoja ni kweli? Alikua na masrahi yapi kwa CIA..?

Lakini pia Mwanae Brandon Lee inasemekana Kua Alienda Hongkong kupeleleza kifo cha baba ake akarudi NA ushahidi akasubiri acheze picha iliyokua imeandaliwa, Lakini hata hivo picha hakuimaliza alikufa akiigiza hiyo picha kwa risasi akafa na siri za kifo cha baba yake.

Ikumbukwe.
-Bruce lee ni mtu pekee aliyekua anaweze kupiga kalatasi inayoninginia ngumi ikatoboka [Sio kuchanika ]

-Alikua na uwezo wa kupiga pushap 100 kwa kutumia kidole kimoja cha shahada.

-Alikua na uwezo wa kurusha punje ya mchele angani akaidaka kwa kijiti.

-Alikua yupo faster sana hadi kwenye kuigiza wakawa wanamuweka in Slow motion ili mapigo yaonekane vizuri. Etc

Tiririkeni wakuu..
Cc.
Malcom Lumumba mngony The bold MSEZA MKULU izzo Slowly mshana jr zitto junior Infantry Soldier @Consigilere GuDume elmagnifico

Aksanteni.

-Da'Vinci Learning
Uwezo Wa kupiga karatasi angani ikatoa tundu na sio kuchanika

Ha ha ha Wewe jamaa kwa fix hatarii
 
Inasemekana kutokana na speed ya Bruce Lee ilibidi baadhi ya scene arudie ili camera ziweze kupata tukio! Hii ilitokana na technology kuwa chini. Pia Bruce kwa kupenda real challenge alikuwa anatafuta mabingwa wa mapigano ambao wangeweza kumpa challenge ya kweli ( si kuigiza tu) na alitafuta kila aliposikia kuna nchi ina wakali kisawasawa....imagine filamu za Bruce zimerekodiwa early 70s na late 60s lakini hadi leo huoni mpinzani kwa hawa wanaosaidiwa na technology. Mimi ninazo filamu zake zote na kila nikiboreka lazima niziangalie hadi my first born anazijua kama wimbo wa Taifa!
Mkuu nisaidie movie zote za Bruce lee kama hutojali
 
Dada yangu wee,mwendawazimu ni yule anayeanzisha thread ambazo hazimsaidii mtanzania kwa lolote.Kuna maswala mengi katika nchi kwa sasa siyo ujinga kama huu.

Bibi hebu ainisha hayo mambo mengi, kama vipi anzisha uzi wako wa hayo mambo usilete tabu kwa watu tunaopenda kusahau tabu Asante.
 
Bibi hebu ainisha hayo mambo mengi, kama vipi anzisha uzi wako wa hayo mambo usilete tabu kwa watu tunaopenda kusahau tabu Asante.
Pombe ikiisha kichwani mwako nina uhakika utarudi katika hali yako ya kawaida dadaangu.
 
labda niseme kitu wakati nipo hong kong nikiuzulia kozi yangu ya utayarishaji wa filamu....nilikutana na mchina mmoja hivi ambaye ndiye alikuwa mwenyeji wetu bwana ling jing...kipindi chote cha j....siku mmoja tukiwa matembezini nikakutana na sanamu kubwa sana ya bruce lee basi....mazungumzo ya bruce lee yakaanza na mmoja ya swali langu nilimuuliza"hivi ni kweli brue aliuwawa ?basi jamaa aliniambia ni kweli bruce lee aliuwawa nikaendelea na nani basi akaanza kunisimulia haya...inasemekana bwana bruce lee akiwa mdogo alienda kutembea na familia yake huko kwenye kijini alikotoka baba yake na wakiwa huko katika siku zile za mapumziko bruce lee alitokewa kupendwa na mzee wa kichina ambaye ni mkufunzi aliyebobea(master) wa michezo ya mapigano(kung fu)ya asili yaani nazungumzia kung fu ya ndani kama umeona tai chi utakuwa unaelewa namaanisha nini...basi mzee huyo alijenga urafiki mkubwa sana na bruce lee mpaka kupelekea bruce lee kumtembelea mara kwa mara mzee huyo ambaye inasemekana ndiye aliyesaidia bruce lee kuwa bruce lee huyu tunayemjua mimi na wewe...basi inasemakana mzee huyo kwa mapenzi aliyonayo kwbruce lee aliamua kumpa siri kubwa na mafunzo ya siri kwa bruce kabla mzee huyo kufariki...baada ya mzee huyo kufariki bruce alianza kuwastua baraza la wazee wa mchezo hua wa mapigano wa jadi kwa kuanza kufanya vitu vya siri yaani staili za ndani ambazo kikawaida hata iweje huwezi kufundIshwa na mbaya zaidi bruce akaanza kuvionyesha vitu hivyo kwenye filamu na ikumbukwe bruce ndo mchina wa kwanza kupeleka mchezo huo marekani kwenye filamu basi wazee walikasirishwa sana na mara mmoja alitumiwa wito wa kumtaka aje ajieleze mbele ya wazee hao ni nani amempa mafunzo hayo na ni kwanini anayaonyesha kwenye filamu bwana mkubwa bruce alikaidi kwenda na buku akiendelea na mazoezi yake hayo basi hatua hiyo iliwauzi sana wazee hao wa jadi na kuamua kumtafutia dawa na ndipo walipoamua kwa kauli mmoja kumzibiti kabla hali haijawa mbaya sana kwa taaruma hiyo ya jadi kwenda kwa wazungu basi waakaamua kumtrain mtu mmoja tu na alipowiva akaambiwa aenda san fransisco marekani kqwnye dojo la bwana bruce na aombe sparing na mtu huyo alikuwameshaelekezwa wapi kwa kupiga na wazee hao na akifanikiwa kupiga alikoelekezwa ampe ushindi bruce aombe kuondoka basi siku ya siku iliwadia bwana bruce akiwa dojo na wanafunzi wake akaingia mgeni asiyetarajiwa na kuomba sparing na bwana bruce alikuwa hapendi kuonyesha uoga hivyo alimkubaria mtu huyo na bwana bruce akafanikiwa kushinda sparing zote tatu walizopigana wakati huo yule mgeni asiyetarijiwa pamoja na kupigwa alikuwa ameshagusa(kupiga) sehemu aliyoelekezwa na wazee basi mgeni huyo aliaga na kutoweka basi usiku huo bruce alipata maumivu makubwa sana ambayo hayaelezeki alishinda siku ya kwanza ndo akaelekea kwenye mazoezi ya filamu yao mpya akiwa huko hali ilikuwa mbaya na bruce aliomba dawa na akaomba alale na hakuamka tena haya ndio ninayoyajua kwa mujibu wa msimuliaji....
Saluteee mkuu nimepata kituu..

Vipi sasa kifo cha Mwanae Brandon Lee?
 
Back
Top Bottom