Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,442
- 110,068
Salute Comrades:
Wakuu leo naomba tujadidili juu ya kifo cha muigizaji BRUCE LEE.
Hivi ni kweli alikufa kifo cha kawaida..?
Alikufaje? Sababu ya kufariki ni nini..?
Kwa story nazo zifahamu juu ya kifo chake (Sijui kama ni sahihi) eti chanzo cha kifo walikua CIA kwa kumtumia Mkewe!
Je hii hoja ni kweli? Alikua na masrahi yapi kwa CIA..?
Lakini pia Mwanae Brandon Lee inasemekana Kua Alienda Hongkong kupeleleza kifo cha baba ake akarudi NA ushahidi akasubiri acheze picha iliyokua imeandaliwa, Lakini hata hivo picha hakuimaliza alikufa akiigiza hiyo picha kwa risasi akafa na siri za kifo cha baba yake.
Ikumbukwe.
-Bruce lee ni mtu pekee aliyekua anaweze kupiga kalatasi inayoninginia ngumi ikatoboka [Sio kuchanika ]
-Alikua na uwezo wa kupiga pushap 100 kwa kutumia kidole kimoja cha shahada.
-Alikua na uwezo wa kurusha punje ya mchele angani akaidaka kwa kijiti.
-Alikua yupo faster sana hadi kwenye kuigiza wakawa wanamuweka in Slow motion ili mapigo yaonekane vizuri. Etc
Tiririkeni wakuu..
Cc.
Malcom Lumumba mngony The bold MSEZA MKULU izzo Slowly mshana jr zitto junior Infantry Soldier @Consigilere GuDume elmagnifico
Aksanteni.
-Da'Vinci Learning