Ingekuwa kama TWITA

chezea my hubby...................


 
wake za Asprin oyeeeeeeeeeeeeeeeee, na idumu faivusamu...
Hoyeeeee! Wadumu kama serekale ya Mugabe!!

Si ni kawaida za kuogea! Da' Yummy umekuaje wauliza Uduvi ferry ?
Maoni yangu muwahi huko ku'seremoni manaake Babu, tangu juzi hatoki kwenye Sredi ya Wheelbarrow! So atakua na mhamasiko toshelevu, kumipokeeni ikibidi kwa Wheelbarrow kama sikosei .
Hiyo sredi ako wapi bana?
 

Bora umejijua................
 
ni ule upendo wa kwenye vitabu vitakatifu siyo huu hapa.

Nakushauri usipende Ecoli kuepusha msongamano na misongange. Wanachapana sana mabinti juu yake.



Hapana, siyamudu kiviiiile. Ila najaribu tu...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…