Ingekua Wewe Ungefanyaje?

Like like...ni kweli kabisa kuna kitu hakitakua sawa katika ulimwengu wa kiroho. ..

Kuna mambo tunaweza kuchagua kujidanganya

Ni kweli hawa watu wapo na ni wa jinsia zote
Kujaribu kuukana ukweli ni kujidanganya

Nimeshaona wengi sana hawa

Na hawa wana wake/waume
Sijui kama hili lina uhusiano na matatizo ya kiroho!
 
Unadhani huo ni msaada?

hiyo ni kumwambia tu ukizidiwa tumia kinga, pia utaratibu wa kupima utamjengea hofu ya mechi za nje, ujue watu wanaojijua health status zao ndio mara nyingi huwa makini.itasaidia kwa namna moja au nyingine.
 
Ntamshauri apige nyeto...asinipe strec mim
 
hee eeee baba paroko umenishtua sana
nilivyoona title inasema kusanyikeni hapa
nikazani kuwa ni mambo ya siasa mbadala
kumbe ....................

hiyo ni kumwambia tu ukizidiwa tumia kinga, pia utaratibu wa kupima utamjengea hofu ya mechi za nje, ujue watu wanaojijua health status zao ndio mara nyingi huwa makini.itasaidia kwa namna moja au nyingine.

Una hakika utamruhusu kudungua nje na kumhimiza atumie kondom au unaongea tu?
 
Namwbia fanya unachojua ni sahihi.
 
hee eeee baba paroko umenishtua sana
nilivyoona title inasema kusanyikeni hapa
nikazani kuwa ni mambo ya siasa mbadala
kumbe ....................

Ok sasa umejua hebu nipe jibu la swali langu!!
 
Una hakika utamruhusu kudungua nje na kumhimiza atumie kondom au unaongea tu?
Eiyer siwezi kumruhusu lakini ni vizuri tu kumkumbushia swala zima la kujilinda. kama huo udhaifu wake hawezi kujizuia ni vizuri tu nikusanyie hata maboksi mawili ila swala la kucheki afya mara kwa mara litahusu sana especially kama unadate na mwanaume wa hivo.
 
Last edited by a moderator:

Huwezi kumruhusu halafu umkusanyie mabox ili nini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…