Kweli kabisa mkuu huyo atakua mgonjwa si bure. Tena ukiona mtu yuko hivyo yapasa ujiulize ulikutana nae wapi au what went wrong.Udhaifu is overrated...
Ushauri wangu kwa wanawake, ukiolewa na mwanaume kama huyo jua hiyo ndoa huenda si mpango wa Mungu au mume anateswa kiroho.
Prob is, I ain't available.
Too Bad! But I love you still and I'll keep wishing! Mmiliki ameokota almasi ila hajui tu, mwache basi?
hahaha kuna midemu humu jf ina play role ya bad bish..afu unakuta in reality ndo waleee wakumwaga machozi kila kaugomvi katakacho tokea #mtazamotu
Its your perception my friend. Haina mbayaaa.Waswahili mbona wanaona poa tu mume kuwa na wanawake wa nje. Mi naona kama una mapenzi ya kiswahili zaidi kuliko ambavyo ungependa kuamini.
expect even twice their mother wanasema mapacha huchangiwa na mama na si baba. ila kwa upendo tu aaah Mkuu Excel ndo umefika
hapo ndio dhana ya open relationship inapoingia
Swali rahic sn.ki ukweli kama unampenda kwa dhati na hali ya mazingira inaruhusu kwenda lazma uende umpe mchakamchaka kidogo uzito upungue!binafsi siwez kumruhusu kutafiya mwingne maana ctalala!nahic akimaliza tu atapewa taarifa ya MTU kuzirai kwa wivu nilonao!akizidiwa akaaamua kutafuta pa kupumzika kwakwel nicjue hapatatosha!!!
hapo ndo mtihani scola... sex phone si inaongeza tu hamu jamani? hii nayo ni solution?Daaa kumbe huwez kwenda!!!nitamridhisha kwa njia ya kuongea naye kwa CMU!!yaan atakuwa anaongea na mimi as if tuko pamoja uwanjani...lazma damu nzitoo imwagike kwa kasi!its like punyeto hivi lkn ata enjoy vilivyo.
hapo ndo mtihani scola... sex phone si inaongeza tu hamu jamani? hii nayo ni solution?
Acha utan excel inaongeza ndiyo na raha ikizidi matokeo yake nin?lazma baruti ipigwe!halafu mume asiyeweza kuvumilia jaman mim hapana maana maishan kuna mambo mengi ctakuwa na amani naye hata nikimwacha na mama angu mzaz kwann niishi kwa mashaka??

sa scola.. hebu niambie sikioni kabisa... kama ni wewe, halafu mimi mumeo excel niko kikazi china.. utanipa ushauri gani ili niondoe migenye kirahisi?
sa scola.. hebu niambie sikioni kabisa... kama ni wewe, halafu mimi mumeo excel niko kikazi china.. utanipa ushauri gani ili niondoe migenye kirahisi?
Kaka huo mtihani.ninamwamini mungu juu ya tote.naamin nikikuombea kwa iman mihemjo yote itakmbia Nita 1000!!kila mwanamke utayemwona utaona c lolote but only me so utaishi hvyo mpaka tukutane tena ndo uchanganyikiwe!!upo hapo excel?

whaaat? mi vyakula yenyewe ya siku hizi ni migenye oriented yooote, unadhani mwanaume rijali atakaa hata mwezi bila kuona shimo la haja?
whaaat? mi vyakula yenyewe ya siku hizi ni migenye oriented yooote, unadhani mwanaume rijali atakaa hata mwezi bila kuona shimo la haja?
Hakuna linaloshindikana mbele za mungu km una Iman kaka.tatzo mda mwingi tunawaza Ku do tunatoa nafasi ndogo sn kuwaza mambo ya MSI GI.do u want to tell me ni lazma m/me afanye daily kaka?what if umeoa then mkeo kajifungua anatakiwa Ku stay away from u unafanyaje ikiwa we ni mwaminifu