Ingekua Wewe Ungefanyaje?


mkuu Excel jiandae kuwa na familia bora huyo mke wa zero ni mwema.
 
Toa somo sister nami inisaidie niwapo mbali na my yf
Hahhaa my dia somo wapi jamani.....ni hivi....tunajitahidi kuwasiliana kila siku kwa kutumia video call au video chat kwa kutumia skype ambayo tunaonana....so unahisi kama uko nae ila ndo hvyo yuko mbali...
 
I believe in transparency. Plus mimi sinaga mapenzi ya Kiswahili.
Waswahili mbona wanaona poa tu mume kuwa na wanawake wa nje. Mi naona kama una mapenzi ya kiswahili zaidi kuliko ambavyo ungependa kuamini.
 
Hahhaa my dia somo wapi jamani.....ni hivi....tunajitahidi kuwasiliana kila siku kwa kutumia video call au video chat kwa kutumia skype ambayo tunaonana....so unahisi kama uko nae ila ndo hvyo yuko mbali...[/QUOTE

nilihisi kama naota vile.
 
Mimi Karucee namruhusu atafute mtu afanye nae mapenzi kwa masharti matatu.
1. Atumie kinga

2. Iwe No strings attached

3. Anihadisie tukio zima.
well said karucee!
 
Udhaifu is overrated... Ushauri wangu kwa wanawake, ukiolewa na mwanaume kama huyo jua hiyo ndoa huenda si mpango wa Mungu au mume anateswa kiroho.
amen watu8 maana loh!jaman mtu gani asie na uvumilivu khaa!
 
Last edited by a moderator:

ijumaa leo uwe unatiket mkononi kesho saa 11 mkoani ukabanjuliwee lasivyo kama unavyosema hali itakua mbaya kwel kwel
binafsi ni type ya huyo jamaa..am very commited but when am horny..mywife atapanda hata ndege na bibiye yupo chap adi nampenda...
 

kyeruuu miezi kumi yotee inasubiri nini??wameweka speedometer?kama n
unamshauri tu akumbuke condom na kama mnawatoto pga picha weka kwa frame mpe aweeke sebulen kama atazni bila condom akiangalia wanae hilo n jini tena
 
Huyo mwanaume atakuwa na roho chafu sio bure...spiritually that aint normal!!!
This could be true. Huyo mtu lazima atakua na tatizo kwani ktk hali ya kawaida kabisa haiwezekani mtu huyo kuwa hivyo. So msaada anaotakiwa kupewa ni kufanyiwa maombi ya kufunguliwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…