choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,650
- 2,989
Prof Mkenda unapofanya mabadiliko ya mitaala na mambo mengineyo basi na adhabu ya viboko kwa kidato cha tano na sita ifutwe maana wale ni watu wazima.
Haiwezekani wanamaliza form iv pamoja, mmoja anaenda chuo cha kati (anaachana na mambo ya viboko) mwezake wa umri ule ule anayeenda form five anaenda kukutana na viboko. Viboko ni adhabu ya kizamani sana hasa kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.
Wanafunzi wa Vi ni watu wanaojitambua na kujua ni nini wanafanya kama ilivyo wanafunzi wa vyuo vya kati ambao hawachapwi viboko.
Na nyie walimu, ingia darasani fundisha achana na kuchapa viboko watu wazima wa form v$vi, fanyeni kama walimu wa vyuo vya kati.