Inawezekana kujenga nyumba ya vyuma kwa kipato Cha 800k?!!

Inawezekana kujenga nyumba ya vyuma kwa kipato Cha 800k?!!

Vyuma ni gharama zaidi.
(vyuma na misumari).
fund amesema makadirio ya kenchi ya mbao na bati ni kias gan?.

Kama kipato cha 800k ni uhakika kila mwezi
options ni hizi.
1. Kopa Bank mkopo wa kumaliza nyumba na nyumba husika ndio inakuwa dhamana.
Mkopo unaweza kwenda had miaka miwili.
2. Tafuta hardware inayoaminika na uwe unawekeza hela kidogo kidogo had itimie ya mbao na bati.
ukiweka laki 3 kila mwezi. Utakuwa na 7.2 mill ndan ya miaka 2.
Ahsante kwa mchango mkuu
 
Kama utani endelea kusubiria Milioni.

Mimi nilijenga nikiwa na salary ya 480,000 na kama unadhani haitoshi kumbe walio na mishahara chini ya hapo hawana nyumba ? Au wasio na salary kabisa hawajengi?
Poa kiongozi, ngoja tuone.
 
Ahsante mkuu, unaweza kitima hata kesho
20260511_133032.jpg
 
Back
Top Bottom