Inawezekana ama ndo naliwa najiona!?

mbisom ramos

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
811
393
Niko kwenye uhusiano mdada flani,shida ni kwamba alikuwa na boy wake lkn waliachana kwa sasa anavyodai ni rafiki yake wa kawaida ila muda mwngi anakuwa naye pamoja na hata Idd walitoka wote cuz me sikuwepo!!! ni urafiki tu au mali yangu yaliwa!?
 
Sasa kama walishakuwa wapenzi, na bado wana-hang pamoja, kwa nini wasiendelee tu na upenzi wao? Dawa ya moto ni moto, muambie na wewe unatoka na ex wako huko uliko amekuja kukutembelea, umuone atavyocharuka!
 
Umenena mkuu

unajua nashindwa kujua kabisa mapenzi ya siku hizi yakoje. hivi kweli binti unapenda unaachika, bado unaendelea kuwa na affair eti ya kwawaida na mtaliki wako? adi mnatoka pamoja huku tayari una mwingine? sawa hayupo kwanini usiache kutoka basi ama ukatafuta kampani ya kawaida tu?

wafikiri mtaliki wako akianza kuakulamba miguu utakuwa na guts za kujinasua au ndo uliacha lkn bado wampenda?
 
Nahisi jamaa bado anakula cuz kila akiniona anajistukia

achana nae anakupotezea muda huyo so far anakuchanganya na usisubiri uumizwe sepa unako mapema uanze upya maisha ya urafiki hayana kuvumiliana bana akishindwa kubebeka unamdondosha chini unabeba anaye bebeka.
 
Sasa kama walishakuwa wapenzi, na bado wana-hang pamoja, kwa nini wasiendelee tu na upenzi wao? Dawa ya moto ni moto, muambie na wewe unatoka na ex wako huko uliko amekuja kukutembelea, umuone atavyocharuka!

Ngoja nijaribu
 
Niko kwenye uhusiano mdada flani,shida ni kwamba alikuwa na boy wake lkn waliachana kwa sasa anavyodai ni rafiki yake wa kawaida ila muda mwngi anakuwa naye pamoja na hata Idd walitoka wote cuz me sikuwepo!!! ni urafiki tu au mali yangu yaliwa!?

Watakuwa wanakumbushia enzi kidogo kidogo wakati wewe haupo au unapokuwa safari ....!
Tafuta mustakabali wa mahusiano yako na mwingine.
 
Niko kwenye uhusiano mdada flani,shida ni kwamba alikuwa na boy wake lkn waliachana kwa sasa anavyodai ni rafiki yake wa kawaida ila muda mwngi anakuwa naye pamoja na hata Idd walitoka wote cuz me sikuwepo!!! ni urafiki tu au mali yangu yaliwa!?

mali yako wapi? yako si unatembea nayo na wala haipo siku utaiacha. yeye naye anatumia vyake, shida iko wapi?
 
Niko kwenye uhusiano mdada flani,shida ni kwamba alikuwa na boy wake lkn waliachana kwa sasa anavyodai ni rafiki yake wa kawaida ila muda mwngi anakuwa naye pamoja na hata Idd walitoka wote cuz me sikuwepo!!! ni urafiki tu au mali yangu yaliwa!?

Ikiwa wewe umeweza kuwa na uhusiano nae kwanini wengine washindwe? oeni wacheni uzinifu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom