Inawezekana ama ndo naliwa najiona!?

Niko kwenye uhusiano mdada flani,shida ni kwamba alikuwa na boy wake lkn waliachana kwa sasa anavyodai ni rafiki yake wa kawaida ila muda mwngi anakuwa naye pamoja na hata Idd walitoka wote cuz me sikuwepo!!! ni urafiki tu au mali yangu yaliwa!?

Sasa kama kila wakati wako pamoja waliachana ya nini? Maana sielewi hapo
 
Huyo mpenzi wako ameenda kumalizia kiporo alichokia huko..kama ungeshaachana naye tungesema amerudia matapishi.
Uamuzi unao mwenyewe si tunashauri tu.
 
Niko kwenye uhusiano mdada flani,shida ni kwamba alikuwa na boy wake lkn waliachana kwa sasa anavyodai ni rafiki yake wa kawaida ila muda mwngi anakuwa naye pamoja na hata Idd walitoka wote cuz me sikuwepo!!! ni urafiki tu au mali yangu yaliwa!?

Na we usitufanye wote watoto hapa,yule bikra ndo huyo mwenye boy wake au?si wewe ndo uliuliza hapa bikra ikitoka kama ni lazima itoke na damu!au?sasa leo vipi tena?
 
Ukimegewa demu wako na wewe tafuta mnyonge ummegee (MwanaFA)..
Kiukweli huna mpenzi hapo..Yaan anatoka na x wewe upo?
Zinduka aiseee...
 
Mhhh,sidhani kama kuna salama hapo,yani unamuachia paka samaki halafu unaliza kama atamla au laa?
 
Kumbe jibu unalo bold na underline kwamba inaliwa tena vizuri sana, nakushauri achana na upuuzi na mtandao huo wa UKIMWI utakupotezea maisha Kaka. Kama umeshafanyiwa dawa nenda ukaombewe kwa jina la Yesu Kristo utafunguka.
 
usijishtukie mdau hata kipofu huishi kwa yale aliyoyakariri,so hofu haina msaada zaidi ya kukuvuruga akili
 
Inaonekana wewe una mpunga zaidi ya yule mwenzako,sasa wale wamejipanga kukuchuna lakini mapenzi yako kule!!stuka kaka...hakunaga hayo mambo!wanawake ni dhaifu sana tena ukiwa nao karibu na akikuzoeaa wala hutumii nguvu.....unaliwa kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom