Shida ni kutotumia taalauma yake au kutoajiriwa? Vipi Kama huko Kuna kipato zaidi?? Vipi madakitari wasomi wanapokuwa wanasiasa je wanatafuta malisho zaidi??
Mola anamuongoza katika kitu na kupata maarifa zaidi na njia ya karama yake aipate. Angeweza kuwa ana fanya chochote hata cha kujitolea hospital huku akiuza pia hayo.
Hapo shida ni akili yake Hana mentorship.
Sasa perfume si ipo kwenye chemistry aliyosoma darasani.
Hapo ajifunze sales then akuze mtaji aje afungue kiwanda cha kuzalisha perfume.
Nimpe tags kazi za medical kwangu na connection nazo Sanaa.
Tatizo litakua ni connection tuu..mtu mwenye sifa anaweza kuni check pia hata kunitumia cvs nimsaidie TAGS kwa yeyote mwenye qualifications mbali mbali za ELIMU ya afya ya binadamu.