Mi nipo pouwa kabisa...Kuna mambo sio kidogo kaka Rejao !
Mi mzima ndugu yangu, khofu kwako tu kaka mpendwa ! Vipi huu si ndio ule mwezi wetu wa kukutana home kwa shangazi eeh?
Sasa kwa nini unam cheat?
...aisee..sasa mzigo anaula nani ?...
Hahaha! Shemeji ! shemeji tafadhali, hv unafurahia mie na mdogo wako tukiachana?Halafu wewe! Leo nakumezea
...aisee..sasa mzigo anaula nani ?...
Hahaha! Shemeji ! shemeji tafadhali, hv unafurahia mie na mdogo wako tukiachana?
Nikiwa kama mwenyekiti wa tume ya Mahusiano sina taarifa mimi binafsi wala kamati zangu kuhusu kuachana kwa Cantalisia na Rejao, natambua kuwa wako pamja
Nafurahi kama uko pouwa kaka Rejao...tuombe uzima mwaya wakati wa kuchinja umekaribia lol...Mi nipo pouwa kabisa...
Bado kidogo tu tuwe wote..umemuandalia nini shangazi?
kuona wanawake mnavyotutenda. Just imagine nikiwa bukoba club jana nimemwona Chimbuvu anaponda raha na charminglady,poor C6 anatia huruma maskini,kumgharimia kote charminglady kisha anafanziwa.
kuona wanawake mnavyotutenda. Just imagine nikiwa bukoba club jana nimemwona Chimbuvu anaponda raha na charminglady,poor C6 anatia huruma maskini,kumgharimia kote charminglady kisha anafanziwa.
Daaaaaaah inasikitisha sana!