Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Umeambiwa ukweli umekasirika?
Kama haumridhishi asikuambie?
Mtafute Umridhishe!!!!.
Mwanaume haachi anaachwa.
 
khaaaah
 
Mwenyewe amshakwambia hajawahi ridhishwa na mwanaume yeyote , Sasa kinakuuma nini au ndio unataka ujitoe muhanga umridhishe, endelea kusubiri unachokitafuta utakipata
 
Ungejaribu Linda kulitatua, mi nadhani alikua anajaribu kukuambia mbele alidhiki
 
Antenna anayo...?isije kuwa unalazimisha kutafuta channel wakati hakuna antenna wala king'amuzi...ohooo bro utaifia hiyo kitu..

Mama Konfesa, hivi ni kweli ukosefu wa antenna una uhusiano wa moya kwa moya na hii?

Somo kidogo tafadhali, nataka kufanya hitimisho la utafiti wangu uchwara.
 
Pengine michezo yake ni michafu Ile ya kuchunguliwa ndogo
 
Nadhani huyo demu wa jamaa anakutana na jamaa wenye utambi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…