Inauma sana kuachwa sababu hauna pesa

Inauma sana kuachwa sababu hauna pesa

Status
Not open for further replies.
Mkuu wala usiendekeze upuuzi wa kumpa mwanamke hata mia yako.

Mimi nimewahi kukumbwa na kadhia kama hiyo, kila siku mizinga mara sijala mara nauli mara sikukuu n.k.. Mwisho wa siku ukimtumia kiasi alichoomba anakuuliza "mbona hujatuma na yakutolea?"

Nimekuja ku realize kuwa ni upumbavu mkubwa tunafanya sisi wanaume. Kuliko umtumie shilingi 50,000/- mwanamke asiekuwa na shukrani wala upendo wowote, ni heri utoe hapo 20,000/- utume kwa wazee wako wanunue hata sukari na chumvi wakukumbuke katika maombi yao na upate kubarikiwa katika mishe zako. Hiyo iliyobaki 10,000/- toa sadaka masjid/kanisani. 20,000/- kula maisha..

Hapo utakuwa umejitendea haki mwenyewe, wazee wako umewathamini na watakuombea mafanikio na Mungu pia umemkumbuka. Sio kuwapa hela hawa viumbe zandiki.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana na nimekuelewa kupita kawaida
 
Hahahahah umefanya asubuh asubuh nacheka ....

Ivi mnadhan ukiwa na pesa au hauna ndo Mwanamke atakupenda kwa dhat au asikupende???

Ukiona kakuacha ujue kwako alikuapo for a short term na hakukupenda wewe kama we.

Ujue akiondoka alafu akarudi ujue anakupenda na for a long term anaamin mengi kukuhusu.

Sasa kwann mnaachwa?? Mnaachwa sababu hamuwafanyi mioyo yao iwapende nyinyi .. Mfanye akupende, alafu usimpe pesa, muulize umepungukiwa nn. Au jiongeze mwenyewe kisha mpelekee Huduma sio pesa mkonon.

Mimi sijawah achwa na mwanamke ,alafu sijui kuhonga lkn mwanamke ninayekua naye uzuri wake eeeeehhh sidhan kama humu JF kuna anayemfikia !!
 
Dah aisee unaroho ngumu sana aisee huna kazi alafu unamuhonga demu elfu 60 aisee pole yako broo ila jifunze kutoa kilichozidi sio kilichoingia chote
 
Hutakiwi kumpenda mwanamke, ukimpenda utajuta
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kabisaaa nilipo naugua maumivu nimekonda siku mbili tu ...kuna A.T.M yangu moja imekata mkanda daaah......yaan napata tabu balaaaa...imebaki moja ambayo IPO for future sasa yenyew inajua sana bajeti dah sijui nifanyaje mweeeeh

Huyo ATM aliekata mkanda mpe ofa ya tigo yako/kinyume na maumbile/mruhusu akuingizie dushe lake mk**duni kwako, hakika atarudi fasta na hela atakupa zeshchriss
 
Nakupa pole sana ndugu yangu..najua maumivu ya mapenzi yalivyo, lakini nikupe tu ushauri ktk kipindi cha hivi karibuni vijana wengi tunapitia kwenye fkake love bila kujua kwa sababu hatuchunguzi watu tunaokuwa nao.. kumjua mwanamke ambaye hana future na wewe ni rahisi sana kama hautaingia kwenye mahusiano kwa pupa..next time mchunguze na dont pretend ili kumuonyesha una pesa...anapaswa akupende jinsi ulivyo mwanzoni tu. Pole sana
Naunga mkono hoja mwanamke anayekupenda hawez kukufanya kibaraka wake na atatzka uwe na matumiz mazur ya pesa siku ingine uchunguze vzur hawa wanaopenda kuhongwa s wanawake wa kuoa wao n wapitaj mfano
 
We hyo hakuwa na mpango na ww alikuwa anatafta sababu ya kutokea
 
Bora umeyajuwa mapema mwache aende tafuta pesa watarudi hao kwa magoti na machozi
 
Pole sana mkuu...mm sitokaa nmpe demu hata buku ten maana siamin ktk mapenz ya pesa...mm pia niliachwa kwa kejeli za kuambiwa sina pesa ila hadi Leo nmetulia tu najua fungu langu lipo na sihitaji kutumia nguvu kulipata....nachoamin mwanamke akikupenda hata chini analala na ukimwambia huna hela anakuvumilia.....achana na hao wachunaji bro...utapata atakayekuvumilia tu
 
Yaani ni matatizo na kwa wakati tulionao mambo ya pesa ndo kama hawasomi nyakati bs waacha saana
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kabisaaa nilipo naugua maumivu nimekonda siku mbili tu ...kuna A.T.M yangu moja imekata mkanda daaah......yaan napata tabu balaaaa...imebaki moja ambayo IPO for future sasa yenyew inajua sana bajeti dah sijui nifanyaje mweeeeh
Pole kwa kufukuzwa kazi my dear
 
Magonjwa mengine huwa mnayatengeneza wenyewe mtakuja kufa kwa stress za kipumbavu Bure

Hizo hela zote ulizo kuwa una honga si ungekuwa umeanzisha mradi na unaendelea kukupa future nzur???

Inshort Hawa wanawake hawajui nini wa nataka na kwa wakati gani usipokuwa utakufa kwa ufukala wa kijinga
 
Wanaume siku hizi mkoje? unashindwaje kutambua tofauti ya malaya na wife material? yaan unalea kibaka eti mpenzi.hao wa hvo ni wa kupigana kuacha. mke anaeomba hela bila mpango m huwa sikawizi kumuondoa kwenye equation.
 
Ni wiki kadhaa tangu mpenzi wangu aniache. Nilikuwa nimempenda kweli na nilimpata kipindi ambacho nilikuwa nimetoka kuachwa na mwanamke wangu aliyepita sababu kuu ikiwa ni pesa na kuniambia anataka watu wenye wadhifa.

Sasa baada ya kumpata huyu kutokana na hali yangu bado sijakaa vizuri lakini nikaapa huyu sitaki kumpoteza. Kwakweli nilijitahidi sana kumpa pesa ili kumuonesha love. Kila pesa aliyokuwa akiomba nilikuwa nikimpa ikafika time nikaona mizinga inakuwa inazidi hadi muda mwingine nikawa nashindwa kula mimi vizuri sababu ya mahitaji yake.

Sasa ameniacha na chanzo cha kuniacha ni pesa. Aliniomba nauli ya kurudia alikuwa mkoa mwingine kwa dada yake kusalimia nikamtumia 60 tena siku ya pili akaanza kuniomba tena 50 anasema ana shida nayo nikamwambia leo sina subiri siku nne nikutafutie nikaona kakasirika. Siku ya pili akanitumia SMS "sikutaki haunithamini".

Tangu hapo akatoa na line niliyomsajilia mimi mpaka leo hajapatikana tena nimebaki na maumivu tu makali sana nikimkumbuka sana. Kweli kupenda ni kitu kingine!
Tafuta mwanamke oa, wanakugeuza ATM, na huyo mdada ameshapata ATM nyingine ya kutolea hela. Jiongeze
 
Mkuu wala usiendekeze upuuzi wa kumpa mwanamke hata mia yako.

Mimi nimewahi kukumbwa na kadhia kama hiyo, kila siku mizinga mara sijala mara nauli mara sikukuu n.k.. Mwisho wa siku ukimtumia kiasi alichoomba anakuuliza "mbona hujatuma na yakutolea?"

Nimekuja ku realize kuwa ni upumbavu mkubwa tunafanya sisi wanaume. Kuliko umtumie shilingi 50,000/- mwanamke asiekuwa na shukrani wala upendo wowote, ni heri utoe hapo 20,000/- utume kwa wazee wako wanunue hata sukari na chumvi wakukumbuke katika maombi yao na upate kubarikiwa katika mishe zako. Hiyo iliyobaki 10,000/- toa sadaka masjid/kanisani. 20,000/- kula maisha..

Hapo utakuwa umejitendea haki mwenyewe, wazee wako umewathamini na watakuombea mafanikio na Mungu pia umemkumbuka. Sio kuwapa hela hawa viumbe zandiki.
Umeongea kitu muhimu sana mkuu
 
Pole sana,,,kuna mistake kadhaaa nahc ulijichanganya,,1.mwanamke yeyote ambae umempenda na umejitoa kwa ajiri yake jitaid sana ujue kwao/ukoo wake ,2.kama una mwanamke ukiwa makin utajua cyo type yako,mfano amekuomba pesa umemjibu hauna labda baada ya siku 2 utampa,wewe mwanaume response yake kwako utaona,,,Tatzo kubwa ss wanaume Tunajipa hope na matumain for zero
 
Hata hivyo umejitaidi kuonga mzee, mimi aliniomba hela akalitachi na ya kusukia , NILIKIMBIA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom