[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kabisaaa nilipo naugua maumivu nimekonda siku mbili tu ...kuna A.T.M yangu moja imekata mkanda daaah......yaan napata tabu balaaaa...imebaki moja ambayo IPO for future sasa yenyew inajua sana bajeti dah sijui nifanyaje mweeeehInauma kwakweli, inauma!!!
Ila pia na kuachwa na mtu mwenye pesa inauma mno inauma jamani yani unajiona kama umefukuzwa kazi
HahahaCha ajabu wanawake wa humu pia wamepata uchungu, kama vile hawajawahi piga mizinga, wakati inawezekana huyo demu pia yumo humu, nae kaonyesha hilo ni tendo dhalimu.
sio wengi bali woteWanawake wengi cku hizi wamekuwa wabaya sana, wao ni pesa tu
kupenda hakupo kwa dunia ya leo..haiwezekani wapendwe wenye hela tu!!Sababu siyo pesa
Hakuwa na mapenzi na wewe
Mwanamke anaekupenda huwa hajali vitu vingi
Ujue alikua anakutumia tu na yupo anaempenda
kajinyonge we si wa iringa huwa inasemekana kujiua kwenu kitu cha kawaida.maana unatia aibu kulialia kisa umeachana na demu mi nlijua utapata hasira ya kutafuta hela mpaka siku moja akiwa na wenzake akwambie “@Iringakwanza waambie hawa hawaamini shawahi kuwa na wewe”Ni wiki kadhaa tangu mpenzi wangu aniache. Nilikuwa nimempenda kweli na nilimpata kipindi ambacho nilikuwa nimetoka kuachwa na mwanamke wangu aliyepita sababu kuu ikiwa ni pesa na kuniambia anataka watu wenye wadhifa.
Sasa baada ya kumpata huyu kutokana na hali yangu bado sijakaa vizuri lakini nikaapa huyu sitaki kumpoteza. Kwakweli nilijitahidi sana kumpa pesa ili kumuonesha love. Kila pesa aliyokuwa akiomba nilikuwa nikimpa ikafika time nikaona mizinga inakuwa inazidi hadi muda mwingine nikawa nashindwa kula mimi vizuri sababu ya mahitaji yake.
Sasa ameniacha na chanzo cha kuniacha ni pesa. Aliniomba nauli ya kurudia alikuwa mkoa mwingine kwa dada yake kusalimia nikamtumia 60 tena siku ya pili akaanza kuniomba tena 50 anasema ana shida nayo nikamwambia leo sina subiri siku nne nikutafutie nikaona kakasirika. Siku ya pili akanitumia SMS "sikutaki haunithamini".
Tangu hapo akatoa na line niliyomsajilia mimi mpaka leo hajapatikana tena nimebaki na maumivu tu makali sana nikimkumbuka sana. Kweli kupenda ni kitu kingine!
Ooh ok kumbe wote waliopendwa Wana helakupenda hakupo kwa dunia ya leo..haiwezekani wapendwe wenye hela tu!!
mwanaume (sio mvulana) gani hana hela kapendwa!?Ooh ok kumbe wote waliopendwa Wana hela
Keep the mindset and it will totally destroy your love life.
Baba yako.mwanaume (sio mvulana) gani hana hela kapendwa!?
unamjua?Baba yako.
Kwani hapa tunazungumzia tunaowajua?unamjua?
Hili ndilo la msingiTafuta pesa
ana hela ndiyo maana nimekuuliza..na akina mama wengi wanataka waolewe nae mitalaKwani hapa tunazungumzia tunaowajua?
Kwa mfano ningekutajia ninaemjua wewe ungemjua?
Basi sawaana hela ndiyo maana nimekuuliza..na akina mama wengi wanataka waolewe nae mitala